Kitu gani ukikisahau mahali lazima ukirudie?

Kuna kitu ambacho ukikisahau Mahali iwe nyumbani, Ofisini, au mahali popote lazima uahirishe uendako ukirudie?
  1. ATM CARDS
  2. KEYS
  3. WALLET
  4. DRIVING LICENCE
  5. LAPTOP
  6. TABLET
  7. MOBILE PHONES
  8. MONEY
  9. PHONE CHARGER
  10. au chochote.
MI NKISAHAU SIMU HOME HATA KAMA SIPO MBALI NA NAENDA JOB SIIRUDII AISEE NTAKUTA MISSED CALLS NA SMS
Funguo za kule nakokwenda!!
 
Condom
 
1- CONDOM.......mimi nikiwa naenda kugegeda halafu nijikute nimeshau, hata kama tumeshavua lazima nivae nikatafute.......

2- SIMU......hata kama nimeenda kuoga, nimeshavua nguo halafu nijikute nakumbuka simu nimeiacha ndani lazima niirudie, maana najua ikidondokea mikononi mwa wife hata kwa zile dakika 10 za mimi kuwa bafuni basi ni kesi nzito sana kuliko hata ya kupinga kuvuliwa ubunge
 
Ila mimi kaka nikimuacha wife peke yake simrudii, Nikiiacha simu peke yake siirudii. Nikiacha simu na wife lazima nirudie kimoja wapo.
umetisha mkuu unanikumbusha usemi

"Ili kuokoa ndoa yako OGA na MKEO akizingua OGA na SIMU yako"
 
Mi hapo kitachonirudisha home labda wallet kama nimeisaau.Mara nyingi nikibadlisha mkoba nasau kuamishia wallet kwenye mkoba husika.Vingine vyote nkisaau havinipi shida.Charger ndo sibebagi kabisa.
 
1- CONDOM.......mimi nikiwa naenda kugegeda halafu nijikute nimeshau, hata kama tumeshavua lazima nivae nikatafute.......

2- SIMU......hata kama nimeenda kuoga, nimeshavua nguo halafu nijikute nakumbuka simu nimeiacha ndani lazima niirudie, maana najua ikidondokea mikononi mwa wife hata kwa zile dakika 10 za mimi kuwa bafuni basi ni kesi nzito sana kuliko hata ya kupinga kuvuliwa ubunge
kondom unaweza kupata mapokezi - labda simu kama kuna vimeo then the Wife ataikagua na utakuta ka faint.. bora ukarudi.
 
1- CONDOM.......mimi nikiwa naenda kugegeda halafu nijikute nimeshau, hata kama tumeshavua lazima nivae nikatafute.......

2- SIMU......hata kama nimeenda kuoga, nimeshavua nguo halafu nijikute nakumbuka simu nimeiacha ndani lazima niirudie, maana najua ikidondokea mikononi mwa wife hata kwa zile dakika 10 za mimi kuwa bafuni basi ni kesi nzito sana kuliko hata ya kupinga kuvuliwa ubunge
HIVI WATU MNA SHIDA GANI NA WAKE NA SIMU ZENU??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom