Kitu gani ukikisahau mahali lazima ukirudie?

narudia kilicho na umhimu na chenye gharama, mbali na hapo huwa sirudi;
nakumbuka enzi zile kurenew lain ilikuwa chap, ikitokea nimesahau simu ikiwa ya touch na renew mbele kwa mbele;
ATM card kama ina hela sawa lakini kama iko dormant ya nini potelea mbali mbele kwa mbele nitaandika lost report, funguo nayo kama kufuri la elfu 2000 navunjaga kuliko kutumia gharama kubwa kurudi,
Pesa ikisahaulika maanake unayo nyingine ..
we jamaa mtu wa kujilipua sana yaan dont care
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom