Mi huwa naogopa sana kifo,though najua iko siku nitakufa.
ah, mi nimesema tu. Naogopa kuchunguliwa nikifanya mambo yangu binafsi.Unakaa shimoni hadi uchunguliwe?
Edit basi thread yako maana watakao kuja wanaweza wasisome hapa...Naomba kufafanua swali langu naona halikueleweka vizuri. Kama utapewa nafasi ya kuja duniani, ni nini unaogopa kuwa. Mfano, imagine kuzaliwa swala, chakula cha simba.
Au kuzaliwa popo unasinzia kichwa chini miguu juu.
Kuchunguliwa...
Mkuu umenichekesha saana!umewaza mbali sana mdau....
Ukiendelea kuwaza hivi, unaweza hata kutengeneza REMOTE CONTROL ya JUA.
Ukawa unatusaidia kupunguza makali ya jua na joto lake kali.
Zinduna we unaogopa kuchunguliwa wakati umejilengesha webcam kwenye mavituz ili tukuchungulie kupitia mtandao???he he heee mwali weee, kumbe wewe uko kama miye,
Amesema toa e weka u kwahiyo inakuwa hivi kidude=kidudu,je wewe bado hujamuelewa tu? Nalog offNimeinama, nimeinuka, nimeokota kidude....
Sijui ni kidude gani hicho kilichokuwa kinazungumziwa.