Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
mie kitu kinachonitisha ni mngurumo wa Simba. Nalog off
Bibie je hufanyi tendo la uumbaji? Nalog offNaogoopaaa, naogopa, kidude...
Towa e uweke u.
Bibie je hufanyi tendo la uumbaji? Nalog off
Hahahaha sawa na log offlog off
log off
umewaza mbali sana mdau....
Ukiendelea kuwaza hivi, unaweza hata kutengeneza REMOTE CONTROL ya JUA.
Ukawa unatusaidia kupunguza makali ya jua na joto lake kali.
huyu sio jamaa ni bibie.Inasemwa mtu ukiwa unawaza kwa mtindo wa huyo jamaa, sanity level uwa inapungua sana. Hivyo mwisho wa siku jamaa anaweza kupoteza....
Mmmhh??? Kidude gani hicho? mi nakuona kama mtu ambae hana uoga hivi. Afrodenzi akiogopa nge we unaikanyaga tu kwa heel yako. Kumbe unaogopa 'kidude'? embu twambie ni kidude gani hicho...Naogoopaaa, naogopa, kidude...
Towa e uweke u.
Washawasha nakuona unaogopa kuishiwa credit kwa hivo ukisha soma threads unalog off, unajibu kwa karatasi, ukirudi una 'reply' zooooote alafu unasoma mapya, then unalog off.Hahahaha sawa na log off
Hahahaha umeona eh! Nipeni dili,nipeni dili, masela,nikamate mahelaa! Nalog offWashawasha nakuona unaogopa kuishiwa credit kwa hivo ukisha soma threads unalog off, unajibu kwa karatasi, ukirudi una 'reply' zooooote alafu unasoma mapya, then unalog off.
Hakuna kitu kinanitisha kama ukosefu wa akili.
Naogoopaaa, naogopa, kidude...
Towa e uweke u.
mmmhhh? hiyo ni scenario ingine balaa! hesabu idadi ya watu watakao hama mitaa...Kongosho... kwa nini usifikiri:
- Siku moja bila kujua usiku unageuka mchana na yote yanayofanyika yanaanikwa hadharani...
- Siku moja bila kujua yote tuliyofanya yanajiandika usoni ili kila mtu akusome na akujue jinsi ulivyo, mazuri yako na mabaya yako...
mmmhhh? hiyo ni scenario ingine balaa! hesabu idadi ya watu watakao hama mitaa...