Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Kwanza atakutafuta kila mara, atatamani kuongozana nawewe, na ukiwa naye tabasamu haliishi yaani kupendwa raha wewe
Wakati huo hujui usiku wa jana yake au jana mchana amefanywa nini.

Kwangu mimi hata aninunie sawa tu ila asigawe mzigo kwa raia basi. Na tukiwa kunako 6x6 anipe kwa moyo wake wote.

Huyo kwangu ni dhahiri ananipenda.
 
Unapendwa sana!na kaona una sifa zote zakuwa baba, something assures her that you can be a good provider kwenye matunzo ya mtoto
Mmh jamani taratibu msiingizane chaka!!!
Sio kila anaeomba mimba ndio kakupenda, wengine wanataka uhakika wa maisha tena kama mwanaume ana kipato ooh raia inaganda hapo kama imegundishwa!

Angalizo tu lakini.
 
Nimecheat 2 times, nimeshamwambia tuachane 3 times. Ila wala hana mpango wa kuachana na mimi, huwa ananiambia nikichoka kufanya ujinga wangu yeye yupo haendi kokote.

Ila juzi kati aliniambia endapo nitafungua mdomo wangu kumwambia tuachane tena, this time ataondo bila kuangalia nyuma.
 
Kamoyo kangu nimekaweka likizo kwa mda maana majeraha yamezidi uzuri sababu nishaijua
 
Mmh jamani taratibu msiingizane chaka!!!
Sio kila anaeomba mimba ndio kakupenda, wengine wanataka uhakika wa maisha tena kama mwanaume ana kipato ooh raia inaganda hapo kama imegundishwa!

Angalizo tu lakini.
Ni kweli,hayo yote yanajulikana ndo maana nikasema bibie kamuona anaweza toa huduma akiwa baba
 
Back
Top Bottom