Kitu gani kimekukomboa katika maisha tangu umalize elimu?

Mimi nilianza mishe ya dagaa,biashara niliyoachiwa na bro,baada ya yeye kuhama dar na kuelekea dodoma,kuanza maisha mengine,so nilipokea wateja want nikaanza na ndoo moja kubwa mpaka nikafika naagiza ndoo Saba za Lita kumi,nilivyomaliza chuo sista yangu akaona anishike mkono kwa kunipa mtaji ili nifanye biashara ya duka nikahama dar nakwenda mkoani kuanza mishe na kutafuta site mwisho wa siku nipo mahali flan biashara inaenda mtaji alionipa umezaa mara nne na Mambo mengine nimefanya
 
Hongera sana
 
Back
Top Bottom