chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,039
- 3,084
UsiwekeWeka humu 🗑️
😭😭😭Njoo Nikuweke ww 😎
Anakutakia memaLeo nimepewa kipeperushi cha Wauza viwanja na baba mwenye nyumba
Nimetafakari sana 🧐
Ety eeh sio kama amenichokaAnakutakia mema
Nyota ya ukimwi hio hamna loloteMimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania.
Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na kuona kuna watu walipigana kwaajili yangu
Je ni kitu gani kilikufanya ujitafakari upya ?
Anakuombea Kwa Sir God nawe siku moya umiliki kamjengoEty eeh sio kama amenichoka
Kuna mdada kaniambia ana mimba yangu,hili limenifanya nijitafakari sana maana sikuwa natarajia hichi kitu kwa saivi.Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania.
Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na kuona kuna watu walipigana kwaajili yangu.
Je, ni kitu gani kilikufanya ujitafakari upya ?
Vinjuga ni niniKila nikivaa vinjunga vyangu natafakari jinsi nitakavyokuwa ka bibi ka hovyo nikizeeka🤓🤓🤓🤓🤓
Vinguo vidogo dogo!Vinjuga ni nini