Umani Wolbachia
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 328
- 311
Ulivurugwa na nn kiasi hichoooo..pole aisee..Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
Ulivurugwa na nn kiasi hichoooo..pole aisee..Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
Ungemkuta kakamatia beki3 ingekuwaje??Usishangae ni mahaba tuu hayo, sometimes yakizid waweza fanya mambo ya ajabu sana. Ukweli ni kwamba nimeshtuka usingizini napapasa pembeni simuoni mwenzangu nikaona mpaka kuanza kuvaa nguo nitachelewa ndio ikabidi nitoke hivyo hivyo Mungu si athuman nikakuta jamaa katulia kwenye kochi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Spart picha,pale macho ya
Wakwe zako yalipokugeukia ww
Cjui sura uliiweka wap
[Color= yellow]Triple A[/color]
Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
Kwahiyo na manii huwa unalamba!Kulamba kamasi af zina ladha kama yale makinikia meupe ya hawa watu..
Si unajua wasanii hatutokagi kwa song 1Mbona sijawahi sikia wimbo wako mkuu
Nje kava la bongo movie ndani picha ya X kisha ikawekwa mbele za wakwe.Kila nikimtafuta uncle JJ hapatikani naona viuno tu.Muuza CD alinimaliza.![]()

Wewe ni Ahmada tokea utoto....siku hizi umeacha?Kujifanya navuta sigara za kujitengenezea na karatasi nilpokuwa mdogo, mapafu yaliumia sikurudia tena
Pia kwenda bar eti kutembea na kutaka kunywa bia baada ya libaba flani kuniagizia kinywaji, sister flani mhudumu wa hapo alikuwa ananifaham akakataa akanletea soda badala yake- nilkuwa kama na miaka 9 au 10 hivi
Nyingine ni kujaribu kunywa pombe siku naenda shule baada ya kufungua, nilkuwa advance boarding, nililewa kidogo kichwa kiliniuma, nilifika shule nanuka pombe kilichofuata nililala usingizi mzito balaa
Kutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa
Au mpaka upate kiki kwa pikipikiSi unajua wasanii hatutokagi kwa song 1

Kwahiyo na manii huwa unalamba!
Sifanyi kabisa hizo mambo, nilikaa mbali na hao marafiki wa ajabu wa utotoni.Wewe ni Ahmada tokea utoto....siku hizi umeacha?
Hata sikumbuki chochote mpaka leo acha tuu maisha haya ni kizungumkuti
Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()

