Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Enzi hizo tupo wawili tuu so haikuwa na shidaah kabisaAsingeachwa salama
- KANA -
Enzi hizo tupo wawili tuu so haikuwa na shidaah kabisaAsingeachwa salama
- KANA -
hahahahahahah alirogwa uyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya hapo ukaenda kusimama mita 200 ukidai una linda kura yako isiibiwe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
OkEnzi hizo tupo wawili tuu so haikuwa na shidaah kabisa
Usishangae ni mahaba tuu hayo, sometimes yakizid waweza fanya mambo ya ajabu sana. Ukweli ni kwamba nimeshtuka usingizini napapasa pembeni simuoni mwenzangu nikaona mpaka kuanza kuvaa nguo nitachelewa ndio ikabidi nitoke hivyo hivyo Mungu si athuman nikakuta jamaa katulia kwenye kochi [emoji28].
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera.Navuta picha jinsi unavyotoka chumbani mpaka sebuleni kisha nawavutia picha na wazee wa chaputa hapa JF wanavyoipokea kwa bashasha hii habari.[emoji124][emoji124][emoji327]
Umezingua ungejitosa hivyohivyo classUnashinda shule wakati uko boarding..?
Nilikula mbaya hataree...na nikapewa matuta ya mboga ya kulimia week nzima..kila siku jioni.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hongera.Navuta picha jinsi unavyotoka chumbani mpaka sebuleni kisha nawavutia picha na wazee wa chaputa hapa JF wanavyoipokea kwa bashasha hii habari.[emoji124][emoji124][emoji327]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usishangae ni mahaba tuu hayo, sometimes yakizid waweza fanya mambo ya ajabu sana. Ukweli ni kwamba nimeshtuka usingizini napapasa pembeni simuoni mwenzangu nikaona mpaka kuanza kuvaa nguo nitachelewa ndio ikabidi nitoke hivyo hivyo Mungu si athuman nikakuta jamaa katulia kwenye kochi [emoji28].
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nje kava la bongo movie ndani picha ya X kisha ikawekwa mbele za wakwe.Kila nikimtafuta uncle JJ hapatikani naona viuno tu.Muuza CD alinimaliza.[emoji1550][emoji1550]
[emoji3][emoji3][emoji3]Umezingua ungejitosa hivyohivyo class
Ah Ah tell me all about it. Alireact vipi na wewe ukafanya nini?Usishangae ni mahaba tuu hayo, sometimes yakizid waweza fanya mambo ya ajabu sana. Ukweli ni kwamba nimeshtuka usingizini napapasa pembeni simuoni mwenzangu nikaona mpaka kuanza kuvaa nguo nitachelewa ndio ikabidi nitoke hivyo hivyo Mungu si athuman nikakuta jamaa katulia kwenye kochi [emoji28].
First Aid ukapewa nini? Dawa au Tissue Papers?Nakumbuka ilikua mwaka 2001, niliteleza kutoka juu umbali wa mita 50.......
Ajabu ni sikuvunjika popote wala kujeruhiwa zaidi ya kujinyea tu kuwenye nguo.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Umenikumbusha hii- shule ya msingi nilivaa sana soksi mbichi nilkuwa nafua asubuhi then ndo naenda shule [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] au nafua shati then nalikausha kwa pasiNilikuwa nataka nifue nguo usiku na zikauke nizivae asubuhi yake..
Nikajisema niziloweke for one hour..nilipitiwa na usingizi..
Nikazinduka saa 11 alfajiri..
Nguo zenyewe ni uniform za shule..[emoji3][emoji3]
Basi ikabidi nimgombeze kimahaba "mpenzi kwanini unanipa adhabu ya kuitafuta tamuuu yangu?"Ah Ah tell me all about it. Alireact vipi na wewe ukafanya nini?
Aah staki kuimagine pia maana saiz ni usiku haf nipo mbali na bae[emoji18] [emoji18] [emoji18]Basi ikabidi nimgombeze kimahaba "mpenzi kwanini unanipa adhabu ya kuitafuta tamuuu yangu?"
Akajibu ooh am sorry baby come this way,,,,,, ayayaaa hapo ilikuwa ni balaa usinikumbushe jamani
First Aid nilipelekwa bafuni kuoga....[emoji13] [emoji13] [emoji13]First Aid ukapewa nini? Dawa au Tissue Papers?
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii