Kitu gani cha ajabu ushawahi kufanya?

Kitu gani cha ajabu ushawahi kufanya?

Nakumbuka ilikua mwaka 2001, niliteleza kutoka juu umbali wa mita 50.......
Ajabu ni sikuvunjika popote wala kujeruhiwa zaidi ya kujinyea tu kuwenye nguo.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee mhenga umesababisha nimeangusha chibuku yangu ujue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom