Kitu gani cha ajabu ushawahi kufanya?

Kitu gani cha ajabu ushawahi kufanya?

Mahaba mubasharaah...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa bado mdogo sana niko na anko wangu kwa sasa ni marehemu Mungu amrehemu, basi alikuwa mtu wa totozi sana na night club kinomanoma, siku hiyo katoka club na Wanawake 2 mmoja wake na mwingine kaniletea mimi eti! Sijui chochote bado kadogodogo, tukalala geto moja kitanda 1 kikubwa 6*6, sasa anko akaanza kumt.omba yule mwanamke wake, huyu mwingine si akanikumbatia kaninyanyua nikawa nimemlalia kwa juu yake, anauchukua mkono wangu si akaupeleka kunako papuchi kunishikisha hamad nakutana na mavuzzi aiseee, sitaisahau ile siku - kwanza nilitetemeka kisha nikaweweseka, nilipojinasua nilifungua mlango nikatoka nduki ya hatari, walinitafuta bila mafanikio. Siku iliyofuata asubuhi nikarudi anko ananiuliza kwani ilikuwaje ? Si ndio nikamwambia kilichotokea, nilidhani lile ni jini, kuwa na nywele kule maeneo nyeti, alicheka sana, ukubwani ndio nikaja kujua kuwa kuumbe!!
Hahahah... Wacha weee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kumchezea akili demu wangu kwa kugoma kula, dada na rafiki zangu wakatahamaki wakawa wananibembeleza nile nakataa kumbe navizia wakiondoka naenda dukani nanunua vitumbua na maandazi ya kutosha nakula nashiba narudi kulala.

Siku ya tatu wakasema nitakufa njaa kumbe mwenzao nimeshiba na kila siku usiku nakula maandazi yangu na vitumbua nakunywa maji nalala, siku demu anakuja alibeba vyakula na matunda mengi anakuja kuniona.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Hahahahah.. Ulikuwa "staki nataka"
 
Hahahahahahahahaha lol!

Nakumbuka nikiwa bado mdogo sana niko na anko wangu kwa sasa ni marehemu Mungu amrehemu, basi alikuwa mtu wa totozi sana na night club kinomanoma, siku hiyo katoka club na Wanawake 2 mmoja wake na mwingine kaniletea mimi eti! Sijui chochote bado kadogodogo, tukalala geto moja kitanda 1 kikubwa 6*6, sasa anko akaanza kumt.omba yule mwanamke wake, huyu mwingine si akanikumbatia kaninyanyua nikawa nimemlalia kwa juu yake, anauchukua mkono wangu si akaupeleka kunako papuchi kunishikisha hamad nakutana na mavuzzi aiseee, sitaisahau ile siku - kwanza nilitetemeka kisha nikaweweseka, nilipojinasua nilifungua mlango nikatoka nduki ya hatari, walinitafuta bila mafanikio. Siku iliyofuata asubuhi nikarudi anko ananiuliza kwani ilikuwaje ? Si ndio nikamwambia kilichotokea, nilidhani lile ni jini, kuwa na nywele kule maeneo nyeti, alicheka sana, ukubwani ndio nikaja kujua kuwa kuumbe!!
 
Nilikuwa nataka nifue nguo usiku na zikauke nizivae asubuhi yake..

Nikajisema niziloweke for one hour..nilipitiwa na usingizi..

Nikazinduka saa 11 alfajiri..

Nguo zenyewe ni uniform za shule..
 
nilikuwa nawasimulia washkaji simpendi frate fulani ambaye alikuwa ndiye mlezi wetu, kumbe yuko nyuma ananisikiliza.

Si akaniuliza unasemaje kijana, walitegemea nitaogopa. nilimwambia pale pale mbele ya wenzangu ntakuja mfanyia kitu hata sahau na atajuta kukutana na mimi.

ule mkwara aliogopa sana, akawa ananichukua kwenda kula nae
 
Nakumbuka nikiwa bado mdogo sana niko na anko wangu kwa sasa ni marehemu Mungu amrehemu, basi alikuwa mtu wa totozi sana na night club kinomanoma, siku hiyo katoka club na Wanawake 2 mmoja wake na mwingine kaniletea mimi eti! Sijui chochote bado kadogodogo, tukalala geto moja kitanda 1 kikubwa 6*6, sasa anko akaanza kumt.omba yule mwanamke wake, huyu mwingine si akanikumbatia kaninyanyua nikawa nimemlalia kwa juu yake, anauchukua mkono wangu si akaupeleka kunako papuchi kunishikisha hamad nakutana na mavuzzi aiseee, sitaisahau ile siku - kwanza nilitetemeka kisha nikaweweseka, nilipojinasua nilifungua mlango nikatoka nduki ya hatari, walinitafuta bila mafanikio. Siku iliyofuata asubuhi nikarudi anko ananiuliza kwani ilikuwaje ? Si ndio nikamwambia kilichotokea, nilidhani lile ni jini, kuwa na nywele kule maeneo nyeti, alicheka sana, ukubwani ndio nikaja kujua kuwa kuumbe!!
jinga sn we jamaa.....ila umenichekesha sn mkuu
 
Ntajaza page......sio kwa matukio mabaya nliyonayo!!!
 
Nakumbuka miaka ya 99 nikiwa naishi kwa uncle wangu nikiwa kidato cha nne niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja ambaye naye alikuwa anakaa na Dada yake ambaye ni nurse.
Tuliukubaliana na yule binti dada yake akiingia zamu ya usiku hospitali niende kwao nikapige show.
Kwa kuwa nilikuwa nalala chumba cha nje nilikuwa nafanikiwa kutoroka usiku nafungua mlango wa chumba changu nafungua geti taratibu ili wasinisikie then nazama kwa mtoto palikuwa ni nyumba ya jirani nilikuwa nikifika namgongea dirishani ananifungulia tunafanya yetu baadae narudi.
Nilianza kunogewa na huo mchezo kumbe uncle wangu alikuwa ameshanishtukia.Sitasahau Siku niliporudi mida ya saa 8 usiku nikakuta geti limeshafungwa kwa ndani nikaruka geti nikamkuta uncle amekaa nje ananisubiria kilichotokea nitakuja tena....
 
nilikuwa nawasimulia washkaji simpendi frate fulani ambaye alikuwa ndiye mlezi wetu, kumbe yuko nyuma ananisikiliza.

Si akaniuliza unasemaje kijana, walitegemea nitaogopa. nilimwambia pale pale mbele ya wenzangu ntakuja mfanyia kitu hata sahau na atajuta kukutana na mimi.

ule mkwara aliogopa sana, akawa ananichukua kwenda kula nae
Ulijitahidi akikili ilijiongeza fasta ungenywea angekunyanyasa
 
Back
Top Bottom