Nakumbuka mwaka 2009 nikiwa likizo, nilienda kigoma kwa bibiyenu wa zamani kabla ya huyu alieniacha sikuzile aliponifumania na mchepuko mpya ambao nilikua nimeuchukulia rafiki yake.
Sikuyo bhana.......
Tulitoka tukaenda kwa hotel moja matata iliopo kando na ufukweni mwa ziwa Tanganyika......
Tulikaa na marafiki wa huyo bibi yenu wa sikuzile, tuliagiza vinywaji kama kawa kama dawa......
Nilipo inuka kwenye kuserebuka na kisha nikarejea, nilipiga kinywaji chote kilichokua kwa glass, na hapopapo nikapoteza faham.
Long short story ni kwamba.......
Kumbe ilibainika niliwekewa sumu kwenye beer...
Agghhhhhh........
Ebu ngoja niishie hapo kwanza, lakini sikufa