My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,599
Kutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa


kabisaaa?Kutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa


kabisaaa?Kutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa
Kusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -
Acha tu mamy!baada ya hapo ukaenda kusimama mita 200 ukidai una linda kura yako isiibiwe
![]()
Ahahahaaaaaa uwiii pole mamiiney we matata sana jaman! sasa si bora anaangalizia hom mweeeeeeeeeeeeeee!wengne utadhan makocha au kamisaa! ht team ya mkoa haimjui! pyee
baada ya hapo ukaenda kusimama mita 200 ukidai una linda kura yako isiibiwe
![]()





Kabisa, usiombe yakukutekabisaaa?
Duh, umeikariri hadi radhaKulamba kamasi af zina ladha kama yale makinikia meupe ya hawa watu..

Nilikuwa nataka nifue nguo usiku na zikauke niziva asubuhi yake..
Nikajisema niziloweke for one hour..nilipitiwa na usingizi..
Nikazinduka saa 11 alfajiri..
Nguo zenyewe ni uniform za shule..![]()
Siyo jambo bayaKushika maik
Teh teh teh....Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
My ribsNilichungulia shimo la Choo cha shule dakika 15 ili nichaguliwe miongoni mwa wachezaji wa timu taifa ya wanafunzi kwenda Kenya kwenye mashinda ya wanafunzi, waganga wabaya sana.

























Lakini najishanga ..ni ilikua akili yangu au alinipa shuntamaSiyo jambo baya

Ni kawaidaLakini najishanga ..ni ilikua akili yangu au alinipa shuntama![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Acha tu mkuu nikikumbuka huwa najuta sana nafsiniMy ribs
Umeanza mapema saana![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Acha tu, the world never stops to suprize!hahahahahahahahahahha naona nw umepewa dawa ya kutapishwa hahaha