Kitu gani cha ajabu (unusual) kuhusu hii picha?

Kitu gani cha ajabu (unusual) kuhusu hii picha?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,447
Reaction score
8,421

Kitu gani cha ajabu (unusual) kuhusu hii picha?


attachment.php
 

Attachments

  • children-of-the-world-must-see-it-7-pclayer.jpg
    children-of-the-world-must-see-it-7-pclayer.jpg
    70.8 KB · Views: 1,690
Kuku wa pili kutoka kulia anaonekana kama ana vichwa viwili na anaonekana anakimbilia wrong way, alitakiwa aende kama wenzake
 
Dirisha la nyumba lipo low na ukitazama ndani inaonyesha nyumba ni kama imeenda underground, pia nyumba kwa nje ni ya udongo na ndani ni ya matofali!
 
Kuku wa pili kutoka kulia anaonekana kama ana vichwa viwili na anaonekana anakimbilia wrong way, alitakiwa aende kama wenzake

hahahaa, utafiti naona sasa una makengeza. vichwa viwili vinatoka wapi? pale kuna kuku wawili mmoja jike anaelekea kulia na jogoo halijageuka maana inaelekea madogo wamewashtukiza.
 
Last edited by a moderator:
Yule kuku wa kushoto miguu yake haileweki kapiga goti na mguu wa kulia au vipi, sijui ni matege si matege, ili mradi shaghalabaghala.

Haya kaka utafitimi nimekuja na hiyo, sijui pia nina makengeza?
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri cha ajabu ni kuwa, vijana wanacheza Mpira, Kuku wameruka utafikiri ni wao wanawindwa.

Kuku moja wamemnyowa manyoya ya nyuma na amepoteza neema za Allah....
 
Wa kwanza kushoto mguu wa njano au kuna kuku nyuma yake, halafu jogoo mweupe wa chini aonekana kama anazaa lakini ni kuku mwingine
 
Hao watoto kwny picha wamewekwa tu hapo wala hawakuwepo! Ni photoshop tu hiyo
 
hapa issue ni huyo kuku alie panda mkononi mwa huyo dogo anae wafukuza😄😄😄
 
ya kuku anakula! ingekuwa ng'ombe sawa


:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Meat, fish, poultry, and eggs as they are usually considered tamasic (influenced by ignorance) and are not sanctioned by either the scriptures or saints. Almost all Hindus avoid beef out of respect for the cow. In the Mahabharata - a seminal Hindu epic - one of its central characters, Bhishma, declares that no sacrifices can be made without butter. And, thus, cows became essential to the spiritual life of Hindus. Alcohol, tea and coffee are said to pollute one's consciousness, making the practice of meditation difficult. Mushrooms are thought to take on the quality of ignorance, while garlic and onions take on the quality of rajas (passion).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom