de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,613
- 24,954
Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao?
Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama?
Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi?
Inamaana hajui kuwa jike nalo limeridhia kupandwa? Hebu tuacheni mambo ya kuji milikisha bwana.
Mke wako akichepuka jua ameshakuchoka, jiongeze na mezea maumivu kwa ndani. Tafuta na wewe jike jingine uruke nalo.
Ndo maana kuna migogoro kila kukicha na doa hazidumu maana watu mnachokana na hamkubaliani, wewe uliyechoka weka wazi, na wewe uliyechokwa kubali tu.
Tusifanye eti sex na wanawake za watu kama kitu cha kustaajabisha. Hata wanyama wanafanya vizuri tu.
Sex is so overrated.