Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 136
- 301
Unaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.
Mna tuvimelea twa uchawi. Wakutanikapo tai, ndipo mzoga ulipoUnaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.
Umemuoa akakuoa! Mwanaume wa kweli haolewi bali anaoampaka tukaja tukaoana
Kwahiyo wakati wenzenu wanawaza msiba na maziko nyie kazi yenu kutekenyana na kuombana namba za simu!Unaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.
Hakuna "kuoana", mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa.Unaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.
Uajabu wake uko wapi sasaUnaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.