kitu cha BOOM hichoooooooo------UDSM

Kabla hamjamalza boom kumbukeni yafuatayo
1.kumbuka kutoa fungu la kumi mana si mali yako ni mali ya Mungu
2.kumbukeni kuweka hata akiba mana mpaka mwezi wa pili siyo mchezo
3.Kwa wale wenzangu na mimi kumbukeni kuwatumia japo 1000 wazazi kwa ajili ya mafuta ya taa robo
4.Kumbuka kuwekeza japo kamtaji ka 50000 katakusaidia kesho ukikwama
 
Nilikesha Zambezi. Huyo aliyeletwa hajitambui ni mwingine

lakin huyo nae aliletwa na hao welevi wenzenu wakasema walikua wanapga maji hapo zambez,ndo nikazan ni wewe!sasa fogo,we huna test weekend hii?
 
hATIMAYE KITU CHA BOOOM CHA INGIA JANA KWA WANAFUNZI WA UDSM..TAKRIBANI SIKU KAMA 14 HIVI HASA KWA WALE WANAOKAA HALL 5 WAMEKUWA WAKILALAMIKA NJAA KWA KUPIGA MAKELELE USIKU......HAHAHAHAH
HIYO FURAHA KWENU
sweetlady niwie radhi kwa kukubishia siku ile, kumbe zile post ulizozisemea zipo asee!!
Dah!! kazi kwelikweli. Haya bana wala boom na mle ndio wakati wenu huu.
 
Last edited by a moderator:
Wale wa mabibo hostel kunyweni,laleni pale block G(kwa waopafahamu) au kule uwanjani,naskia siku hzi mmewekewa taa
 
lakin huyo nae aliletwa na hao welevi wenzenu wakasema walikua wanapga maji hapo zambez,ndo nikazan ni wewe!sasa fogo,we huna test weekend hii?
Nina test mbili kesho jumapili. Muda huu naenda tena Zambezi halafu narudi kusoma saa nane usiku hadi asubuhi. Vipi nikushtue tuende wote tuka-enjoy ?
 
Nina test mbili kesho jumapili. Muda huu naenda tena Zambezi halafu narudi kusoma saa nane usiku hadi asubuhi. Vipi nikushtue tuende wote tuka-enjoy ?

me nipitishie viroba viwili 2 hapa rumu namba 101.
 
Kwa GPA hunipiti na kwenye starehe pia mimi ni kiboko yao. Nakamua madem na book kwa pamoja.

Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

i see.......
 
Back
Top Bottom