Kitu benz ya ukwel ndan ya posta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitu benz ya ukwel ndan ya posta

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kokwa kavu, Mar 15, 2012.

 1. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimelikubal hili gar nkaona na nyie wana jamvi muone
   

  Attached Files:

 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Eh!!............................ kwani ni S ngapi hii??
   
 3. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,714
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  Na hizi barabara zetu mmh! Gari nzuri hahahha umewin kwa ukweli
   
 4. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kama cjakosea ni S 400 Hybrid sedan
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona ina plate namba ya Texas na jina la Mike? Au mie ndio sijui?
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Anatumia mkata majani wangu kama hii
   
 7. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  my dream car duh black colour inaita.... kitu kimesimama
   
 8. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Mike shemejie Super Model Cynthia Masasi
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  mhmmm!! kitu kina shine ile mbaya. Kimepimpiwa kikapimpika.
   
 10. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  shemeji kwa nani richie?
   
 11. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukitazama kwa makini majengo ya nyuma yameandikwa kiswahili..kama nimekuelewa lakini...
   
 12. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 660
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  icho ki2 nlikiona posta ijumaa last week nahc 2liona pa1..
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dah! Naomba lift japo na mie nioshe sura kwenye kitu kikali. Lol
   
 15. g

  guccio Senior Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenotice nin kwenye plate number!?wanaojua wameshaelewa...
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  ukiwa mikocheni utakutana nayo kwa sana mi nimeiona kutokea last year mbele black plate nyuma white
   
 17. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hii gari niliikuta Machame last week, ya jamaa mkazi wa kule....ni latest edition ya Range Rover Evoque!

  IMG-20120314-00254.jpg IMG-20120314-00255.jpg
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Evoque ndiyo Range Rover ya wanyonge wenye kuthamini mazingira, hata mie naifikiria kama vipi niidake.

  Hiyo mibenzi engines za 5.x kwenye circles zenye environmental awareness ni scandal.Unaweza kwenda sehemu ukapaki mbali watu wasikuone.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kweli hiyo Evoque umeipenda! Na ukija kununua lazima tutajua humu :attention:
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Imekaa sawa kwa bei, kimazingira naki brand ingawa kina Prince Charles wenyewe wanaweza kuliita monstrosity" linaloharibu jina la RR, but then again such buggers are usually tree huggers so they may appreciate more the 2.0.

  Halafu mie msemaji sana, wanasema wasemaji sana si wafanyaji, kwa hiyo inawezekana nakuwa kama wale wanaoweka sticker za gari kwenye friji wakisema "ntalinunua" wakifikia uwezo wa kununua wanafanya jingine.

  Isitoshe ntashindwa hata kutinga nalo kwenye parties zenu washashi msije kmjua Kiranga. Na sasa nishawaharibia wabongo wengine wanaoendesha Evoque hawakawii kuwaona Viranga wote.

  Mie natafuta friji linalofanya order ya chakula kwenye Wi-Fi, nisihitaji gari kabisa. Usafiri wangu uwe treadmill na vyuma vya basement iwe kazi yangu gym.

  But first I gotta pull some Madoff made models change fingerprints like Jack Klutas, and leave stories like a modern day Plutarch.
   
Loading...