Kitovu kudondokea kwenye uume: Dhana ya kishenzi inayothibitisha uduni wa akili ya mwafrika

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,158
2,000
Kwamba eti mtoto wa kiume akidondokewa na kitovu kwenye uume wake basi huyo atakuwa hanithi. .

Na mtoto wa kike akidondokewa na kitovu kwenye uke basi eti atakuwa mgumba.

Upumbavu mtupu.

Haya maneno yanatoka kwa watu walewale walio sema Mwanamke akijifungua watoto mapacha basi watoto hao na wauwawe kwa sababu eti twin kids are evil. Holy Nonsense.


Imani hii imewafunga na kuwazika waafrika wengi sana kwenye Giza la ujinga.

Kuna kabila moja kusini mwa Tanzania wao mtoto hawasubiri Hadi kitovu kidondoke.

Mtoto akifikisha siku kadhaa tangu azaliwe, kitovu kinakatwa kwa kutumia bawa la kuku lililopakwa mafuta ya Nazi.

Kitovu hicho ima huifadhiwa ima huchomwa moto ima huzikwa chini ya mti ima hutupwa mtoni ima hutupwa baharini whichever comes first.

Baada ya hapo baba wa mtoto hupaka uume dawa ukiwa umesimama Kisha huchora alama ya njia panda jike ( MSALABA) kwenye paji la uso la mwanawe huku akizungumza maneno ya kimila.

Bila kujua anacho kifanya mzazi huyo anakuwa anamuingiza mtoto wake kwenye agano la kiza kinene.


UKWELI NI NINI?

Ukweli ni kwamba, vitovu vya watoto na makondo ya uzazi vinatumika katika Uchawi mzito Sana.

Maagano mengi na maapizo mengi mazito mazito ya kichawi yanafanyika kwa kutumia vitovu vya watoto plus makondo ya uzazi.

Mbali na kutumika katika maagano ya kiza, vitovu vya watoto na makondo ya uzazi vinatumika katika mambo mengi ya kichawi.

Mifano:

Vitovu vya watoto:

1. Kutengeneza ukimwi wa kichawi kwa njia ya ulisho ama kulishwa. Na utalishwa eidha kwa kuwekewa kwenye chakula au kinywaji ambayo mara nyingi hufanywa kwenye misiba ya vijijini na uswahilini au kwenye sherehe.. mkiwekewa kwenye chakula mfano kwenye harusi basi harusi nzima mnaweza kuugua maradhi yanayo fanana na ukimwi. Wakati mwingine huweza kufanyika kwa kunuizia sahani moja ya ubwabwa mmekula watu nane Lakini Juma ndo kanuiziwa apate maradhi basi Juma ndo ataugua.

Pia unaweza kulishwa kichawi usiku . Wewe utaota unalishwa vitu usiku halafu Kesho yake au baada ya muda mfupi ukaanza kuugua maradhi yasiyo eleweka au yasiyo sikia dawa.

Hiyo mara nyingi hulishwa na Wachawi au anaweza kutumwa msukule aje kukulisha kwa sababu misukule Wana " Upako" wa kupita sehemu Bila kuonekana.


2. Mapenzi : Kuna Uchawi hatari wa mapenzi wa kiagano ambao unatengenezwa kwa kutumia kitovu cha mtoto. Mara nyingi huwa ni kitovu cha mtoto wako mzazi ( ur biological child )

Na anaefanya hivyo NI eidha mama wa mtoto au mtu mwingine yoyote yule atakae pata access ya kitovu cha mtoto wako.

3. Kupiga

4. Kutengeneza tego la mapenzi etc


Kondo la uzazi nalo hutumiwa na walozi kwenye mambo mengine sana Kama vile kumfunga mtu kimapenzi. Kufunga na kuharibu nyota ya mtu nakadhalika nakadhalika.


KWENYE MAAGANO:

Hapo ndo mahala pake Sasa. Vitu hivi vinatumika Sana katika maagano ya kichawi na kisheitwani.

1. Kufunga nyota ya mtu

2. Kuharibu nyota ya mtu.

3. Kuharibu destiny ya mtu.

4. Kufanya transfer of destiny kutoka kwa mwenye kitovu kwenda kwa beneficiary.


5. Kumfunga mtu Nira nakadhalika nakadhalika.


POINT YAO IPO HAPA:

KITOVU KILICHO GUSANA NA UUME AU UKE KINA NGUVU DHIDI YA MAJINI WA AINA ZOTE.. KWA KUTUMIA KITOVU HICHO UNAWEZA KUONA WACHAWI UNAWEZA KUMUITA KUMUARU NA KUMFUNGA JINI YOYOTE YULE... KWA KUTUMIA KITOVU HICHO UNAWEZA KUI CONQUER ROHO YA MAUTI KAMA ALIVYO FANYA NABII ENOCH. .. Mambo NI mengi Sana nitayaeleza baadae

Ili kuhakikisha maarifa haya hayawafikii watu wengine, wazee waliokua wana hodhi maarifa haya walitengeneza uzushi kwa lengo la kuwatisha wazazi Wenye watoto wachanga kuwafanya wawe makini kuhakikisha watoto wao hawadondokewi na vitovu )

N:B: vitu vingi vinavyo katazwa nyuma yake Kuna Siri nzito Sana ambazo walio kukataza hawataki uzijue kwa sababu ukizijua utakuwa na maarifa Kama wao.

Nikipata nafasi nitaeleza kwa kina kuhusu Mambo kumi na Saba yaliyo katazwa na Siri unazo paswa kuifahamu zilizo nyuma yake.

### NI matumaini yangu Uzi huu unaweza kuokoa maisha ya watu. Kuna watu huwa mpaka wanapiga eti kwa sababu mtoto wake amedondokewa na kitovu.


### sababu pekee inayo weza kumfanya mtoto awe hanithi kwa sbb ya kudondokewa na kitovu ni " maneno kwamba mtoto akidondokewa na kitovu anakuwa hanithi " na mawazo/ thoughts kwamba mtoto akidondokewa na kitovu anakuwa hanithi"


KWA SABABU? Thoughts and words have lives of their own . Through thinking and speaking you can create things.

#So stop talking about that bullshit

# stop thinking about that bullshit.YAANI HUU UZUSHI NI SAWA SAWA NA UZUSHI ULE TULIKUWA TUNAAMBIWA KWENYE MAZINGAOMBWE SHULE YA MSINGI KAMA MBAKUMBUKA.

MFANYA MAZINGAOMBWE ANAWAAMBIA " WATOTO MSIGEUZE VIATU, UKIGEUZA VIATU UTAKUTA WAZAZI WAKO NYUMBANI WOTE WAMEKUFA"

kwa uzushi Huo hakuna mtoto angethubutu kugeuza VIATU...

The aim of this superstition is to protect the interest of the disciples of darkness and not urs.


Kama unafuata Mila hii basi Jua wewe bado upo kizani and it is very fair to tag you as a person of less intellect . Ur less than a human being. A person of very weak intellect. And you should be put in the same space as Apes in as far as your intellect capacity is concerned.MWAKA 2003.

Nikiwa nna miaka kumi na nane rafiki yangu na age mate watu alipata mtoto wa kiume.

Few days later akaja na story kwamba mtoto wake amedondokewa na kitovu kwenye mashine.

So even wanted to abandon the boy for he thought he couldn't amount to nothing.


Even though I was not a Disciple Of YASHUA HAMASHIA at that time, I thank God I was a little englightened, I told him to stop that bullshit.

FAST FOWARD:

Last weekend Jamaa kapata wajukuu mapacha kutoka kwa mtoto wake wa kiume ambae Jamaa alikuwa ana amini amekuwa Hanithi ( achilia mbali kuwa tasa) kwa sababu ETI ETI mtoto wake akidondokewa na kitovu.


Pamoja na kwamba dogo kapata watoto akiwa bado mdogo ( 17years ) kitu ambacho baba ake hakutaka coz hakutaka dogo afuate nyayo zake Lakini Jamaa kafurahi kwa sababu hofu aliyo kuwa nayo Sasa haipo Tena .

Kaja kuniomba nitoe majina ya watoto nikamwambia Waite " ENDLESS na EVERLASTING au INFINITY.

ITS HIGH TIME NOW WAAFRIKA TUANZE KUACHANA NA IMANI ZA KIJINGA JINGA. IMANI AMBAZI ZINA UTWEZA UTU WETU
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
POINT YAO IPO HAPA:

ILI KITOVU KI RETAIN NGUVU ZAKE ZA KIROHO AKITAKIWI KUKUGUSANA NA KIUNGO CHENYE UWEZO WA KUZALISHA KITOVU KINGINE ( i.e uke au uume kwa sababu kupitia uke au uume anaweza kuzaliwa mtu mwingine ambae na yeye atakuwa na kitovu pia )

Ili kusecure hitaji hili wazee walitengeneza uzushi kwa lengo la kuwatisha wazazi Wenye watoto wachanga kuwafanya wawe makini kuhakikisha watoto wao hawadondokewi na vitovu )

Asante, sasa mkuu kwaio wewe una imani ya kua kuna nguvu flani japo sio hizo walizosema wazee?

Mimi binafsi sijui lolote kuhusu hili
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
Point yangu kuu ni kwamba kitovu kikidondokea kwenye uume wa mtoto, mtoto hawi hanithi Wala mgumba Kama ni mtoto wa kike..
Ndio hio ndio point yako kuu na nimekuelewa,

Swali langu, Jee kuachana na hilo ulilopinga sasa, kuna nguvu nyingine zinaweza kutokea au hakuna nguvu yoyote?
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,158
2,000
Ndio hio ndio point yako kuu na nimekuelewa,

Swali langu, Jee kuachana na hilo ulilopinga sasa, kuna nguvu nyingine zinaweza kutokea au hakuna nguvu yoyote?
Sijaelewa swali lako . Please paraphrase ur question
 

Nuhu39

JF-Expert Member
Jan 5, 2018
1,055
2,000
Kitovu kilichogusana na uume au uke kina nguvu ya kuwaona wachawi na kuwaamuru majini, hapa inakuwaje kwa mtu asiye mshirikina anaweza akamuamuru jini au mchawi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,158
2,000
Kitovu kilichogusana na uume au uke kina nguvu ya kuwaona wachawi na kuwaamuru majini, hapa inakuwaje kwa mtu asiye mshirikina anaweza akamuamuru jini au mchawi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una muamuru Kama ambavyo Askari anaweza kumuamuru jambazi aweke silaha Chini.

Hata mfalme Suleiman aliwaamuru majini
 

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
650
1,000
Nafikiri dhana kubwa hapa.. ilikuwa ni kuwafanya wazazi kuwa waaangalifu na sehemu ya kitovu. Kama unavyojua jamii ya zamani ilikuwa inakataza au kutoa msisitozo kwenye kitu fulani kwa kuwatisha watu. Kwa hiyo inawezekana zamani watoto wengi walikuwa wanapata infection kwenye kitovu.. wahenga wakaona dawa wanahitaki extra care kwenye kitovu.. wakawapa wazazi masharti magumu.. kitovu cha mtoto kinatakiwa kuangaliwa kwa umakini mpaka kitakapo katika.. na imefanya kazi.
Hapo hakuna uchawi wala mama yake uchawi
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,158
2,000
Nafikiri dhana kubwa hapa.. ilikuwa ni kuwafanya wazazi kuwa waaangalifu na sehemu ya kitovu. Kama unavyojua jamii ya zamani ilikuwa inakataza au kutoa msisitozo kwenye kitu fulani kwa kuwatisha watu. Kwa hiyo inawezekana zamani watoto wengi walikuwa wanapata infection kwenye kitovu.. wahenga wakaona dawa wanahitaki extra care kwenye kitovu.. wakawapa wazazi masharti magumu.. kitovu cha mtoto kinatakiwa kuangaliwa kwa umakini mpaka kitakapo katika.. na imefanya kazi.
Hapo hakuna uchawi wala mama yake uchawi
Ur the true son of your father.
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,158
2,000
Hatua zipi natakiwa nifuate ili niwe na uwezo wa kuwaona wachawi na kuwaamuru majini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Very simple. Just blv in Jesus.
Anyways unataka kuwaona Wachawi ili iweje mkuu ? Duh Yani ni Sawa na Kijana rijali kusema anataka kuangalia sinema ya ukimwi na magonjwa ya zinaa. Anataka kuona nn? **** zilizo oza?
 

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,830
2,000
Unapoongelea dhana fulani ya utamaduni wa kiafrika lazima mjue mnazungumzia nini,kuna mila nyingine siyo za kuhusisha na uafrika moja kwa moja,hii na sawa na kusema eti kuchukuia namba kumi na tatu kuna mahusiano na uzungu.
Hizo ambazo mnaziona mila potofu hadi leo zipo mpaka kwa wazungu,waarabu,waasia,wazungu wangapi wanaamini kuwa ukimvalisha mchumba wako ndoa mlimani ndoa hiyo itadumu,hii ni sehemu ya mila potofu pia,nimeamua tu kukupa hizi mbili,ukitaka nyingine za ajabu zaidi niambie
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,158
2,000
Unapoongelea dhana fulani ya utamaduni wa kiafrika lazima mjue mnazungumzia nini,kuna mila nyingine siyo za kuhusisha na uafrika moja kwa moja,hii na sawa na kusema eti kuchukuia namba kumi na tatu kuna mahusiano na uzungu.
Hizo ambazo mnaziona mila potofu hadi leo zipo mpaka kwa wazungu,waarabu,waasia,wazungu wangapi wanaamini kuwa ukimvalisha mchumba wako ndoa mlimani ndoa hiyo itadumu,hii ni sehemu ya mila potofu pia,nimeamua tu kukupa hizi mbili,ukitaka nyingine za ajabu zaidi niambie
Mimi siwajui hao wazungu wanao amini hivyo.. Kama wewe unawajua just mention their names here so that tuwe na uhakika kwamba you are not talking about ghosts
 

m2me

Member
Jul 23, 2012
55
95
Siyo kweli kuwa atakuwa hanithi au tasa. Ili fanywa hivyo ili kufichwa ukweli ambao unaamini upo na kwa baadhi tu waliobarikiwa kuujuwa. Swali ni hayo yanayofichwa nyuma ya huanithi na utasa unaamini yapo na ni halisia?

QUOTE="LIKUD, post: 35461998, member: 116096"]
Sijaelewa swali lako . Please paraphrase ur question
[/QUOTE]
 

Nuhu39

JF-Expert Member
Jan 5, 2018
1,055
2,000
Very simple. Just blv in Jesus.
Anyways unataka kuwaona Wachawi ili iweje mkuu ? Duh Yani ni Sawa na Kijana rijali kusema anataka kuangalia sinema ya ukimwi na magonjwa ya zinaa. Anataka kuona nn? **** zilizo oza?
I believe in Jesus, Nimeuliza hivo kujua uwezo huo wanao washirikina tu au hata wasio washirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,830
2,000
Mimi siwajui hao wazungu wanao amini hivyo.. Kama wewe unawajua just mention their names here so that tuwe na uhakika kwamba you are not talking about ghosts
Jambo la ajabu sana kuona mtu anataka uonyeshe jina la wazungu wakati hapa tunazungumzia utamaduni,unapozungumzia utamaduni jua hauzungumzii jina na hata uzi ulivyokuja haukuja kwa jina,leo unamwambia mtu mzima kuwa kuna wazungu wanaoamini katika imani potofu anataka tena uwatajie majina ya hao watu wakati huo huo ushamuonyesha kuwa huo ni utamaduni wa watu fulani na bado ukampa mfano wa namna ya kutofautisha maana ya utamaduni na matumizi mengine,bado mtu huyo anakua na kichwa kigumu kuelewa,anza kwanza kuchanganya za kuzaliwa kabla ya kutumia za darasani,mtu mzima leo ufahamu wazungu,dunia ina mambo sana.
Unategemea nikuonyeshe majina katika jambo la kitamaduni,unapozungumzia utamaduni wa kiafrika katika mwanzo wowte bila ya kuonyesha kuwa unazungumzia utamaduni wa nani katika Afrika usitegemee kuletewa majina ihali wewe mwanzo hukuleta majina.
Ila kifupi tu,Wazungfu na wao wana imani potofu,kama hautaki sema sitaki,kama haujui sema sijui.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom