Kitovu kudondokea kwenye uume: Dhana ya kishenzi inayothibitisha uduni wa akili ya mwafrika

Unapoongelea dhana fulani ya utamaduni wa kiafrika lazima mjue mnazungumzia nini,kuna mila nyingine siyo za kuhusisha na uafrika moja kwa moja,hii na sawa na kusema eti kuchukuia namba kumi na tatu kuna mahusiano na uzungu.
Hizo ambazo mnaziona mila potofu hadi leo zipo mpaka kwa wazungu,waarabu,waasia,wazungu wangapi wanaamini kuwa ukimvalisha mchumba wako ndoa mlimani ndoa hiyo itadumu,hii ni sehemu ya mila potofu pia,nimeamua tu kukupa hizi mbili,ukitaka nyingine za ajabu zaidi niambie
Ndio wazungu pia Wana Imani potofu, lakini sio kwa extent ya huku Africa

Imani potofu potofu mara nyingi hustawi sana kwenye jamii yenye elimu duni, ndio maana hata Africa haya mambo ya Imani yanapungua tu kadri elimu inavyozidi kusambaa kwenye jamii...kwa Sasa Imani potofu imepungua ukilinganisha na miaka ya 80s


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wazungu pia Wana Imani potofu, lakini sio kwa extent ya huku Africa

Imani potofu potofu mara nyingi hustawi sana kwenye jamii yenye elimu duni, ndio maana hata Africa haya mambo ya Imani yanapungua tu kadri elimu inavyozidi kusambaa kwenye jamii...kwa Sasa Imani potofu imepungua ukilinganisha na miaka ya 80s


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hii ni kweli,ila bado haivunji imani potofu kutokuwepo katika tamaduni nyingine mbali na tamaduni za muafrika.
Hapa nakuunga mkono.
 
Kwamba eti mtoto wa kiume akidondokewa na kitovu kwenye uume wake basi huyo atakuwa hanithi. .

Na mtoto wa kike akidondokewa na kitovu kwenye uke basi eti atakuwa mgumba.

Upumbavu mtupu.

Haya maneno yanatoka kwa watu walewale walio sema Mwanamke akijifungua watoto mapacha basi watoto hao na wauwawe kwa sababu eti twin kids are evil. Holy Nonsense.


Imani hii imewafunga na kuwazika waafrika wengi sana kwenye Giza la ujinga.

Kuna kabila moja kusini mwa Tanzania wao mtoto hawasubiri Hadi kitovu kidondoke.

Mtoto akifikisha siku kadhaa tangu azaliwe, kitovu kinakatwa kwa kutumia bawa la kuku lililopakwa mafuta ya Nazi.

Kitovu hicho ima huifadhiwa ima huchomwa moto ima huzikwa chini ya mti ima hutupwa mtoni ima hutupwa baharini whichever comes first.

Baada ya hapo baba wa mtoto hupaka uume dawa ukiwa umesimama Kisha huchora alama ya njia panda jike ( MSALABA) kwenye paji la uso la mwanawe huku akizungumza maneno ya kimila.

Bila kujua anacho kifanya mzazi huyo anakuwa anamuingiza mtoto wake kwenye agano la kiza kinene.


UKWELI NI NINI?

Ukweli ni kwamba, vitovu vya watoto na makondo ya uzazi vinatumika katika Uchawi mzito Sana.

Maagano mengi na maapizo mengi mazito mazito ya kichawi yanafanyika kwa kutumia vitovu vya watoto plus makondo ya uzazi.

Mbali na kutumika katika maagano ya kiza, vitovu vya watoto na makondo ya uzazi vinatumika katika mambo mengi ya kichawi.

Mifano:

Vitovu vya watoto:

1. Kutengeneza ukimwi wa kichawi kwa njia ya ulisho ama kulishwa. Na utalishwa eidha kwa kuwekewa kwenye chakula au kinywaji ambayo mara nyingi hufanywa kwenye misiba ya vijijini na uswahilini au kwenye sherehe.. mkiwekewa kwenye chakula mfano kwenye harusi basi harusi nzima mnaweza kuugua maradhi yanayo fanana na ukimwi. Wakati mwingine huweza kufanyika kwa kunuizia sahani moja ya ubwabwa mmekula watu nane Lakini Juma ndo kanuiziwa apate maradhi basi Juma ndo ataugua.

Pia unaweza kulishwa kichawi usiku . Wewe utaota unalishwa vitu usiku halafu Kesho yake au baada ya muda mfupi ukaanza kuugua maradhi yasiyo eleweka au yasiyo sikia dawa.

Hiyo mara nyingi hulishwa na Wachawi au anaweza kutumwa msukule aje kukulisha kwa sababu misukule Wana " Upako" wa kupita sehemu Bila kuonekana.


2. Mapenzi : Kuna Uchawi hatari wa mapenzi wa kiagano ambao unatengenezwa kwa kutumia kitovu cha mtoto. Mara nyingi huwa ni kitovu cha mtoto wako mzazi ( ur biological child )

Na anaefanya hivyo NI eidha mama wa mtoto au mtu mwingine yoyote yule atakae pata access ya kitovu cha mtoto wako.

3. Kupiga

4. Kutengeneza tego la mapenzi etc


Kondo la uzazi nalo hutumiwa na walozi kwenye mambo mengine sana Kama vile kumfunga mtu kimapenzi. Kufunga na kuharibu nyota ya mtu nakadhalika nakadhalika.


KWENYE MAAGANO:

Hapo ndo mahala pake Sasa. Vitu hivi vinatumika Sana katika maagano ya kichawi na kisheitwani.

1. Kufunga nyota ya mtu

2. Kuharibu nyota ya mtu.

3. Kuharibu destiny ya mtu.

4. Kufanya transfer of destiny kutoka kwa mwenye kitovu kwenda kwa beneficiary.


5. Kumfunga mtu Nira nakadhalika nakadhalika.


POINT YAO IPO HAPA:

KITOVU KILICHO GUSANA NA UUME AU UKE KINA NGUVU DHIDI YA MAJINI WA AINA ZOTE.. KWA KUTUMIA KITOVU HICHO UNAWEZA KUONA WACHAWI UNAWEZA KUMUITA KUMUARU NA KUMFUNGA JINI YOYOTE YULE... KWA KUTUMIA KITOVU HICHO UNAWEZA KUI CONQUER ROHO YA MAUTI KAMA ALIVYO FANYA NABII ENOCH. .. Mambo NI mengi Sana nitayaeleza baadae

Ili kuhakikisha maarifa haya hayawafikii watu wengine, wazee waliokua wana hodhi maarifa haya walitengeneza uzushi kwa lengo la kuwatisha wazazi Wenye watoto wachanga kuwafanya wawe makini kuhakikisha watoto wao hawadondokewi na vitovu )

N:B: vitu vingi vinavyo katazwa nyuma yake Kuna Siri nzito Sana ambazo walio kukataza hawataki uzijue kwa sababu ukizijua utakuwa na maarifa Kama wao.

Nikipata nafasi nitaeleza kwa kina kuhusu Mambo kumi na Saba yaliyo katazwa na Siri unazo paswa kuifahamu zilizo nyuma yake.

### NI matumaini yangu Uzi huu unaweza kuokoa maisha ya watu. Kuna watu huwa mpaka wanapiga eti kwa sababu mtoto wake amedondokewa na kitovu.


### sababu pekee inayo weza kumfanya mtoto awe hanithi kwa sbb ya kudondokewa na kitovu ni " maneno kwamba mtoto akidondokewa na kitovu anakuwa hanithi " na mawazo/ thoughts kwamba mtoto akidondokewa na kitovu anakuwa hanithi"


KWA SABABU? Thoughts and words have lives of their own . Through thinking and speaking you can create things.

#So stop talking about that bullshit

# stop thinking about that bullshit.



YAANI HUU UZUSHI NI SAWA SAWA NA UZUSHI ULE TULIKUWA TUNAAMBIWA KWENYE MAZINGAOMBWE SHULE YA MSINGI KAMA MBAKUMBUKA.

MFANYA MAZINGAOMBWE ANAWAAMBIA " WATOTO MSIGEUZE VIATU, UKIGEUZA VIATU UTAKUTA WAZAZI WAKO NYUMBANI WOTE WAMEKUFA"

kwa uzushi Huo hakuna mtoto angethubutu kugeuza VIATU...

The aim of this superstition is to protect the interest of the disciples of darkness and not urs.


Kama unafuata Mila hii basi Jua wewe bado upo kizani and it is very fair to tag you as a person of less intellect . Ur less than a human being. A person of very weak intellect. And you should be put in the same space as Apes in as far as your intellect capacity is concerned.



MWAKA 2003.

Nikiwa nna miaka kumi na nane rafiki yangu na age mate watu alipata mtoto wa kiume.

Few days later akaja na story kwamba mtoto wake amedondokewa na kitovu kwenye mashine.

So even wanted to abandon the boy for he thought he couldn't amount to nothing.


Even though I was not a Disciple Of YASHUA HAMASHIA at that time, I thank God I was a little englightened, I told him to stop that bullshit.

FAST FOWARD:

Last weekend Jamaa kapata wajukuu mapacha kutoka kwa mtoto wake wa kiume ambae Jamaa alikuwa ana amini amekuwa Hanithi ( achilia mbali kuwa tasa) kwa sababu ETI ETI mtoto wake akidondokewa na kitovu.


Pamoja na kwamba dogo kapata watoto akiwa bado mdogo ( 17years ) kitu ambacho baba ake hakutaka coz hakutaka dogo afuate nyayo zake Lakini Jamaa kafurahi kwa sababu hofu aliyo kuwa nayo Sasa haipo Tena .


Kaja kuniomba nitoe majina ya watoto nikamwambia Waite " ENDLESS na EVERLASTING au INFINITY.


ITS HIGH TIME NOW WAAFRIKA TUANZE KUACHANA NA IMANI ZA KIJINGA JINGA. IMANI AMBAZI ZINA UTWEZA UTU WETU
Unaamini kuwa kitovu kudondokea viungo vya uzazi vya mtoto husababisha uhanithi au ugumba ni imani potofu

Halafu unaamini kitovu kutumika kwenye uchawi siyo imani potofu.!!!

Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
giphy.gif
 
Kati ya anayeamini kitovu cha mtoto kinasababisha uhanithi/ugumba na anayeamini kitovu cha mtoto kinatumika kutengeneza UKIMWI who is less intelect then the other?
Unforgetable

Manners Maketh Man
 
Wazungu wametuletea Yesu na kutuambia imani za Kiafrika ni ushirikina na ushetani. Cha ajabu sana, hao wazungu wenyewe hawana habari na huyo Yesu kabisa. SAD.
 
Unaamini kuwa kitovu kudondokea viungo vya uzazi vya mtoto husababisha uhanithi au ugumba ni imani potofu

Halafu unaamini kitovu kutumika kwenye uchawi siyo imani potofu.!!!

Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisome Ili ubishe soma vizuri. Sijasema naamini nimesema walio eneza UZUSHI huo ndio wana amini hivyo..I was only the messenger
 
Wazungu wametuletea Yesu na kutuambia imani za Kiafrika ni ushirikina na ushetani. Cha ajabu sana, hao wazungu wenyewe hawana habari na huyo Yesu kabisa. SAD.
Jesus was black..there is no white man in this planet who is humble like Jesus
 
Kati ya anayeamini kitovu cha mtoto kinasababisha uhanithi/ugumba na anayeamini kitovu cha mtoto kinatumika kutengeneza UKIMWI who is less intelect then the other?
Unforgetable

Manners Maketh Man
Ulie uliza swali ndio less intellect.. Mimi nimeelezea wanavyo amini wahusika wewe unakuja kufanya masterbation hadharani
 
Jambo la ajabu sana kuona mtu anataka uonyeshe jina la wazungu wakati hapa tunazungumzia utamaduni,unapozungumzia utamaduni jua hauzungumzii jina na hata uzi ulivyokuja haukuja kwa jina,leo unamwambia mtu mzima kuwa kuna wazungu wanaoamini katika imani potofu anataka tena uwatajie majina ya hao watu wakati huo huo ushamuonyesha kuwa huo ni utamaduni wa watu fulani na bado ukampa mfano wa namna ya kutofautisha maana ya utamaduni na matumizi mengine,bado mtu huyo anakua na kichwa kigumu kuelewa,anza kwanza kuchanganya za kuzaliwa kabla ya kutumia za darasani,mtu mzima leo ufahamu wazungu,dunia ina mambo sana.
Unategemea nikuonyeshe majina katika jambo la kitamaduni,unapozungumzia utamaduni wa kiafrika katika mwanzo wowte bila ya kuonyesha kuwa unazungumzia utamaduni wa nani katika Afrika usitegemee kuletewa majina ihali wewe mwanzo hukuleta majina.
Ila kifupi tu,Wazungfu na wao wana imani potofu,kama hautaki sema sitaki,kama haujui sema sijui.
I asked you a question. Instead of giving me the answer, Ur just talking about the question. I can't you
 
Jesus was black..there is no white man in this planet who is humble like Jesus


Whatever you want to put it, lakini ukweli utabaki ukweli, habari za Yesu huku kwetu zimeletwa na wamishenari wa kizungu kama habari za Mohammed zilivyoletwa na Waarabu. Kabla ya hapo hakuna mmakua au mmpogolo yeyote aliyemjua Yesu mweusi au wa bluu, watu walikuwa na imani zao tofauti
 
Kati ya anayeamini kitovu cha mtoto kinasababisha uhanithi/ugumba na anayeamini kitovu cha mtoto kinatumika kutengeneza UKIMWI who is less intelect then the other?
Unforgetable

Manners Maketh Man
Labda wote ni intellect kwa level tofauti kwenye uchambuzi wa dark magic
 
Kuamini Mila za kwamba kitovu kina7bisha uhanithi/ugumba ni ushamba na ujinga lakini kuamini mila za kwamba kitovu kinafunga/zuia/hamisha nyota ya mtu ni sahihi...!!! You can't be serious man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri dhana kubwa hapa.. ilikuwa ni kuwafanya wazazi kuwa waaangalifu na sehemu ya kitovu. Kama unavyojua jamii ya zamani ilikuwa inakataza au kutoa msisitozo kwenye kitu fulani kwa kuwatisha watu. Kwa hiyo inawezekana zamani watoto wengi walikuwa wanapata infection kwenye kitovu.. wahenga wakaona dawa wanahitaki extra care kwenye kitovu.. wakawapa wazazi masharti magumu.. kitovu cha mtoto kinatakiwa kuangaliwa kwa umakini mpaka kitakapo katika.. na imefanya kazi.
Hapo hakuna uchawi wala mama yake uchawi
Nakazia...
Kuna hizi pia>>>

1.ukimpiga mtu na mwiko anakufa- lengo kuheshimu chakula na afya zetu kwa kuepusha kifaa hicho kisiguse uchafu uchafu wala mazingira mengine mengine tofauti na kwenye vyombo ambapo ndipo kilipokusudiwa kitumike

2.mjamzito asile mayai (ni mwiko)- lengo kuwanusuru wazazi na wavizaavyo wasikumbane na operation kwenye kuzaa given that hospitali ni chache na mbali na jamii zama hizo; pia ili kusevu kizazi cha kuku (nadhani mnajua balaa la ulaji kwa wajawazito)

na nyingine nyingi kuandika nimechoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona mleta mada anataka tu kujua why kitovu kinasababisha uhanithi ila nakupa mtihani mmoja tu unadhani kwanini kitovu huwa kikidondoka huwa kinafichwa kwa siri tena anapewa mama yako mzazi
 
Back
Top Bottom