Kitovu kudondokea kwenye uume: Dhana ya kishenzi inayothibitisha uduni wa akili ya mwafrika

Tatizo Kuna watu ikitokea mtoto kadondokewa wanachanganyikiwa wengine wanafikia hatua ya kujiua
Nakubali, hapo ndipo upuuzi ulipolalia. Lkn kwa maana ya kuzuia wazazi kulalala fofofo wakati wanakichanga.

Kumfanya mama kuwa makini wakati anamuogesha kichanga hiyo imekaa poa.
 
Back
Top Bottom