Kitovu kudondokea kwenye uume: Dhana ya kishenzi inayothibitisha uduni wa akili ya mwafrika

Whatever you want to put it, lakini ukweli utabaki ukweli, habari za Yesu huku kwetu zimeletwa na wamishenari wa kizungu kama habari za Mohammed zilivyoletwa na Waarabu. Kabla ya hapo hakuna mmakua au mmpogolo yeyote aliyemjua Yesu mweusi au wa bluu, watu walikuwa na imani zao tofauti
Hata internet unayo tumia uliletewa na hao hao wazungu mkuu. Babu zako hawakutumia internet
 
Ninachokiona mleta mada anataka tu kujua why kitovu kinasababisha uhanithi ila nakupa mtihani mmoja tu unadhani kwanini kitovu huwa kikidondoka huwa kinafichwa kwa siri tena anapewa mama yako mzazi
NI ujinga ujinga Tu mkuu hakuna uhusiano wowote. Kitovu hakisababishi ukhanithi mkuu . Just take it from me and fvck what u know about it
 
Kila uchao nkifungua JF huwa nakumbana na mada mpyaaa zenye kuwazishaaa ka hiiii....kwamba hataweza kula papuchi vizuriiii eeee

JF naona wamebadili mwonekani ...ngoja nisome maelekezo upyaa
 
Mkuu kuna jamaa yangu alipata mtoto wa kiume sasa mama mtu akamwambia jamaa amwekee dudu utosini(kichwani) ili mtoto asivimbe kichwa...

Nimeona hapo umeongelea kumwekea mtoto dudu kichwani, je hio dhana ni ya kweli?
 
I asked you a question. Instead of giving me the answer, Ur just talking about the question. I can't you
Tuongee kiswahili hii lugha ya kiingereza achana nayo ni ushamba mzee,umeenzisha kiswahili endeleza kiswahili,achana na ulimbukeni wa lugha,ukitaka lugha tukutane jukwaa la lugha kule huwa tunaonyeshana ubabe wa lugha mbalimbali,hii kiiingereza ya kitoto sana siku hizi.
 
Tuongee kiswahili hii lugha ya kiingereza achana nayo ni ushamba mzee,umeenzisha kiswahili endeleza kiswahili,achana na ulimbukeni wa lugha,ukitaka lugha tukutane jukwaa la lugha kule huwa tunaonyeshana ubabe wa lugha mbalimbali,hii kiiingereza ya kitoto sana siku hizi.
Unamuacha Mwenyekiti unamfuata katibu
 
Mkuu kuna jamaa yangu alipata mtoto wa kiume sasa mama mtu akamwambia jamaa amwekee dudu utosini(kichwani) ili mtoto asivimbe kichwa...

Nimeona hapo umeongelea kumwekea mtoto dudu kichwani, je hio dhana ni ya kweli?

Watu wanafanya hivyo Lakini NI ujinga ujinga Tu
 
Na wanasema eti ili usiwe hanithi inabidi uone sehemu za siri au akiwa uchi bi. Mkubwa wako (Ashakhum si matusi)

la sivyo hutasimamisha milele na utakuwa hanithi..


hizi story nazisikia tu ila sijawahi kuthibitisha au kumuona iliyomtokea
 
Kwamba eti mtoto wa kiume akidondokewa na kitovu kwenye uume wake basi huyo atakuwa hanithi. .

Na mtoto wa kike akidondokewa na kitovu kwenye uke basi eti atakuwa mgumba.

Upumbavu mtupu.

Haya maneno yanatoka kwa watu walewale walio sema Mwanamke akijifungua watoto mapacha basi watoto hao na wauwawe kwa sababu eti twin kids are evil. Holy Nonsense.


Imani hii imewafunga na kuwazika waafrika wengi sana kwenye Giza la ujinga.

Kuna kabila moja kusini mwa Tanzania wao mtoto hawasubiri Hadi kitovu kidondoke.

Mtoto akifikisha siku kadhaa tangu azaliwe, kitovu kinakatwa kwa kutumia bawa la kuku lililopakwa mafuta ya Nazi.

Kitovu hicho ima huifadhiwa ima huchomwa moto ima huzikwa chini ya mti ima hutupwa mtoni ima hutupwa baharini whichever comes first.

Baada ya hapo baba wa mtoto hupaka uume dawa ukiwa umesimama Kisha huchora alama ya njia panda jike ( MSALABA) kwenye paji la uso la mwanawe huku akizungumza maneno ya kimila.

Bila kujua anacho kifanya mzazi huyo anakuwa anamuingiza mtoto wake kwenye agano la kiza kinene.


UKWELI NI NINI?

Ukweli ni kwamba, vitovu vya watoto na makondo ya uzazi vinatumika katika Uchawi mzito Sana.

Maagano mengi na maapizo mengi mazito mazito ya kichawi yanafanyika kwa kutumia vitovu vya watoto plus makondo ya uzazi.

Mbali na kutumika katika maagano ya kiza, vitovu vya watoto na makondo ya uzazi vinatumika katika mambo mengi ya kichawi.

Mifano:

Vitovu vya watoto:

1. Kutengeneza ukimwi wa kichawi kwa njia ya ulisho ama kulishwa. Na utalishwa eidha kwa kuwekewa kwenye chakula au kinywaji ambayo mara nyingi hufanywa kwenye misiba ya vijijini na uswahilini au kwenye sherehe.. mkiwekewa kwenye chakula mfano kwenye harusi basi harusi nzima mnaweza kuugua maradhi yanayo fanana na ukimwi. Wakati mwingine huweza kufanyika kwa kunuizia sahani moja ya ubwabwa mmekula watu nane Lakini Juma ndo kanuiziwa apate maradhi basi Juma ndo ataugua.

Pia unaweza kulishwa kichawi usiku . Wewe utaota unalishwa vitu usiku halafu Kesho yake au baada ya muda mfupi ukaanza kuugua maradhi yasiyo eleweka au yasiyo sikia dawa.

Hiyo mara nyingi hulishwa na Wachawi au anaweza kutumwa msukule aje kukulisha kwa sababu misukule Wana " Upako" wa kupita sehemu Bila kuonekana.


2. Mapenzi : Kuna Uchawi hatari wa mapenzi wa kiagano ambao unatengenezwa kwa kutumia kitovu cha mtoto. Mara nyingi huwa ni kitovu cha mtoto wako mzazi ( ur biological child )

Na anaefanya hivyo NI eidha mama wa mtoto au mtu mwingine yoyote yule atakae pata access ya kitovu cha mtoto wako.

3. Kupiga

4. Kutengeneza tego la mapenzi etc


Kondo la uzazi nalo hutumiwa na walozi kwenye mambo mengine sana Kama vile kumfunga mtu kimapenzi. Kufunga na kuharibu nyota ya mtu nakadhalika nakadhalika.


KWENYE MAAGANO:

Hapo ndo mahala pake Sasa. Vitu hivi vinatumika Sana katika maagano ya kichawi na kisheitwani.

1. Kufunga nyota ya mtu

2. Kuharibu nyota ya mtu.

3. Kuharibu destiny ya mtu.

4. Kufanya transfer of destiny kutoka kwa mwenye kitovu kwenda kwa beneficiary.


5. Kumfunga mtu Nira nakadhalika nakadhalika.


POINT YAO IPO HAPA:

KITOVU KILICHO GUSANA NA UUME AU UKE KINA NGUVU DHIDI YA MAJINI WA AINA ZOTE.. KWA KUTUMIA KITOVU HICHO UNAWEZA KUONA WACHAWI UNAWEZA KUMUITA KUMUARU NA KUMFUNGA JINI YOYOTE YULE... KWA KUTUMIA KITOVU HICHO UNAWEZA KUI CONQUER ROHO YA MAUTI KAMA ALIVYO FANYA NABII ENOCH. .. Mambo NI mengi Sana nitayaeleza baadae

Ili kuhakikisha maarifa haya hayawafikii watu wengine, wazee waliokua wana hodhi maarifa haya walitengeneza uzushi kwa lengo la kuwatisha wazazi Wenye watoto wachanga kuwafanya wawe makini kuhakikisha watoto wao hawadondokewi na vitovu )

N:B: vitu vingi vinavyo katazwa nyuma yake Kuna Siri nzito Sana ambazo walio kukataza hawataki uzijue kwa sababu ukizijua utakuwa na maarifa Kama wao.

Nikipata nafasi nitaeleza kwa kina kuhusu Mambo kumi na Saba yaliyo katazwa na Siri unazo paswa kuifahamu zilizo nyuma yake.

### NI matumaini yangu Uzi huu unaweza kuokoa maisha ya watu. Kuna watu huwa mpaka wanapiga eti kwa sababu mtoto wake amedondokewa na kitovu.


### sababu pekee inayo weza kumfanya mtoto awe hanithi kwa sbb ya kudondokewa na kitovu ni " maneno kwamba mtoto akidondokewa na kitovu anakuwa hanithi " na mawazo/ thoughts kwamba mtoto akidondokewa na kitovu anakuwa hanithi"


KWA SABABU? Thoughts and words have lives of their own . Through thinking and speaking you can create things.

#So stop talking about that bullshit

# stop thinking about that bullshit.



YAANI HUU UZUSHI NI SAWA SAWA NA UZUSHI ULE TULIKUWA TUNAAMBIWA KWENYE MAZINGAOMBWE SHULE YA MSINGI KAMA MBAKUMBUKA.

MFANYA MAZINGAOMBWE ANAWAAMBIA " WATOTO MSIGEUZE VIATU, UKIGEUZA VIATU UTAKUTA WAZAZI WAKO NYUMBANI WOTE WAMEKUFA"

kwa uzushi Huo hakuna mtoto angethubutu kugeuza VIATU...

The aim of this superstition is to protect the interest of the disciples of darkness and not urs.


Kama unafuata Mila hii basi Jua wewe bado upo kizani and it is very fair to tag you as a person of less intellect . Ur less than a human being. A person of very weak intellect. And you should be put in the same space as Apes in as far as your intellect capacity is concerned.



MWAKA 2003.

Nikiwa nna miaka kumi na nane rafiki yangu na age mate watu alipata mtoto wa kiume.

Few days later akaja na story kwamba mtoto wake amedondokewa na kitovu kwenye mashine.

So even wanted to abandon the boy for he thought he couldn't amount to nothing.


Even though I was not a Disciple Of YASHUA HAMASHIA at that time, I thank God I was a little englightened, I told him to stop that bullshit.

FAST FOWARD:

Last weekend Jamaa kapata wajukuu mapacha kutoka kwa mtoto wake wa kiume ambae Jamaa alikuwa ana amini amekuwa Hanithi ( achilia mbali kuwa tasa) kwa sababu ETI ETI mtoto wake akidondokewa na kitovu.


Pamoja na kwamba dogo kapata watoto akiwa bado mdogo ( 17years ) kitu ambacho baba ake hakutaka coz hakutaka dogo afuate nyayo zake Lakini Jamaa kafurahi kwa sababu hofu aliyo kuwa nayo Sasa haipo Tena .

Kaja kuniomba nitoe majina ya watoto nikamwambia Waite " ENDLESS na EVERLASTING au INFINITY.

ITS HIGH TIME NOW WAAFRIKA TUANZE KUACHANA NA IMANI ZA KIJINGA JINGA. IMANI AMBAZI ZINA UTWEZA UTU WETU
Mkuu, umehamisha wazo toka " uhanithi" kwenda kwenye uchawi au nguvu nyingine itokanayo na kitendo hicho.

Bado sioni sababu ya kushutumiwa kwa imani hiyo, kwani naona inazidisha umakini wa kumuangalia mtoto katika makuzi yake.

Ila tuachane na kufuatilia mambo ya majini.
 
Mkuu, umehamisha wazo toka " uhanithi" kwenda kwenye uchawi au nguvu nyingine itokanayo na kitendo hicho.

Bado sioni sababu ya kushutumiwa kwa imani hiyo, kwani naona inazidisha umakini wa kumuangalia mtoto katika makuzi yake.

Ila tuachane na kufuatilia mambo ya majini.
Tatizo Kuna watu ikitokea mtoto kadondokewa wanachanganyikiwa wengine wanafikia hatua ya kujiua
 
Je? Unaamini kwamba mkeo akikalia chapati akiwa uchi wa mnyama halafu hiyo chapati ukailautakua popoma?
Je? Unaamini kwamba mkeo akihifadhi kipande cha nyama ndani ya sehemu zake za siri kwa masaa kadhaa, halafu akakitoa na kukichanganya na nyingine na wewe ukazila utakua unamsikiliza yeye tu?
 
mshukuru sana mama yako alihakikisha kitovu hakidindokei huko la sivyo ungekuwa hanithi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom