Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

kitomar2 ................ni tapeli la kutupa.
 
bado anaendeleza mpango mzima sasa amebandika matangazo moshi mjini kwenye maduka ya vyakula vya mifugo

Wakazi wa Moshi kaeni chonjo na huyu tapeli wa mifugo aina ya kuku na bata ... Namba yake ya simu ni hii 0757 662 401
 
View Profile: Kitomari
User Name: Kitomari
User Title: Junior Member
Last Activity: 21st
December 2012 09:40
 
kitomar2 sio kitomari coz hayo ni majina mawili tofauti
 
Hawa jamaa wanaojifanya ni ma- urgent wa vifaranga wengi wao huwa si wakweli - jifunze kwenda physically kwenye recognised offices.
 
Ni jambazi sugu siyo tapeli tu kwani amevuka mpaka sasa
 
nimeona kabandika matangazo kibao kwenye maduka ya vyakula vya mifugo anatafuta wateja kaona mitandaon kashagundulika
 
[h=1]Natoa Tamko la kupinga kukanusha juu ya hii taarifa yenye kichwa cha habari “kitomar2 ni jambaz kanitapeli’’kuhusishwa na jina ‘’kitomai.’’[/h]
Awali ya yote natoa shukrani ziwaendee wana JF wote walionipigia simu, walioni PM, walio ni sms na wengine kuchangia kukanusha juu ya hiyo habari ya kutohusishwa na kitomai mimi.


Kwanza mimi natumia jina la kitomai na siyo kitomar2…Na ukitaka kujua habari za kitomai google, kitomai au tembelea (www.kitomai.com au https://www.facebook.com/kitomaikayinga) humo utajua nini kitomai anafanya. Huyo kitomari2 ni kiumbe mwingine asihusishwe na mimi.

Kama haujaridhika na kukanusha huku na unahitaji maelezo ya ziada ni-whatsapp humu +255755312233 au nipigie/sms kupitia namba hizi 0784225000 au 0717114409. Mimi nipo kama ninavyooneka katika profile pic yangu.

Aksanteni.
 
Natoa Tamko la kupinga au kukanusha juu ya hii taarifa yenye kichwa cha habari "kitomar2 ni jambaz kanitapeli''kuhusishwa na jina ''kitomai.''


Awali ya yote natoa shukrani ziwaendee wana JF wote walionipigia simu, walioni PM, walio ni sms na wengine kuchangia kukanusha juu ya hiyo habari ya kutohusishwa na kitomai mimi.
Kwanza mimi natumia jina la kitomai na siyo kitomar2…Na ukitaka kujua habari za kitomai google, kitomai au tembelea (www.kitomai.com au https://www.facebook.com/kitomaikayinga) humo utajua nini kitomai anafanya. Huyo kitomari2 ni kiumbe mwingine asihusishwe na mimi. Kama haujaridhika na kukanusha huku na unahitaji maelezo ya ziada ni-whatsapp humu +255755312233 au nipigie/sms kupitia namba hizi 0784225000 au 0717114409. Mimi nipo kama ninavyooneka katika profile pic yangu. Aksanteni.
 
Pole sana mkuu kwa masaibu yaliyokukuta, siku zote ukweli huwa haujifichi
 
Back
Top Bottom