pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #121
wew kaka sikia mpaka nimekuja kushtaki hapa ina maana nimezunguka kote labda kama ni wewe umekuja kwa jina jingine kujisafisha bt otherwise nimesharepot police na vodacom kuna mkakat unafanyika wa kumbamba coz ile sms ya m pesa niliyomtumia pesa bado nilikuwa nayo kwa cm