Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
Ref; https://www.jamiiforums.com/ujasiri...-mjasiriamali-ambaye-ni-member-wa-huku-2.html
Mods wanaweza kua na jina lake email adress yake, hapo kupata mawasiliano yake mengine kama Jina lake halisi na pengine hata namba ya simu inawezekana. kama kuna nia ya kufanya hivyo. Watu wa aina hii ndio wanaochafua JF.
Angalizo;
Kuna Kitomari2 wa Arusha na Kitomari yule dalali wa viwanja na nyumba mitaa ya Mbezi beach, kawe, Ununio n.k. Msije mkawachafua wengine kwa kuwachanganya hawa watu.
Last edited by a moderator: