Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

Asije mtoto wa kike akabebeshwa Mimba na mwana JF and then mdada aje kulalamika kwa Invisible lazima itenganishwe maisha halisi na ya kuchit chat

Hahaha itakuja kutokea we subiri.
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe

Teh teh teh

laki unusu hiyo ni hela ya bia usiku mmoja,tena baa za kiswaz.inakuwaje jamaa amekulia timing na kukuweka king hela km hiyo!
huyo tapeli njaa tu

Hivi unawezaje kucheka au kutoa kejeli kwa ishu kama hii??? Kama pesa hiyo inatumika kunywea bia usiku mmoja inamhusu nini mwenzio anayeitumia pesa hiyo kujikomboa kimaisha kutoka hali moja kwenda nyingine?? No wonder smart people are quitting JF!
 
ulitaka ni lie? ishu hapa ni kwamba watu walisha tahadharishwa kwenye ule uzi wa kwanza sasa kama mtu kaamua kutest nani hapo wa kulaumiwa? sioni wakulaumiwa
 
Tatizo kubwa ni kumsikiliza mtu porojo zake na kumuamini.
Kuna vigezo vya kumwamini mtu.
Mtu anakwambia ofisi yake na ana kupeleka hafu huangalii vigezo vya kutosha kuwa ofisi ni yake.
Hata mimi ilinikumba dizain hiyo.
Ila tuu sikufikanae mbali kwani niliona picha za ku unga unga nika stuka.Baada ya kuachanae nilirudi kimya kimya pale ofisini na kumuulizia nikaambiwa mbona sii muhusika!hua anakuja mara moja moja tuu.Ndugu yangu nililoa mpaka meno kwani nilikuwa nimpatie laki 800,000.
 
Ni lazima watu waje out, sasa na ishu nyingine kama huna product sema sina, na si kuchukua pesa theni unashindwa kutoa mzigo, kama mtu uko kwa ajili ya biashara endelevu huwezi fanya uhuni kama huu, Watu tunafanya biashara na wachina tusio wajua na walioko kwenye nchi yao still mzigo unafika sembuse huku Bongo.

Watanzania tunatafuta Utajiri wa Short cut sana, na that is why tunaishia kuwalaumu wachina walio jaa kariakoo, ni lazima tubadilike sasa, Utajiri ni matokeo ya kazi yako.

bila kubadilika tutaishia kuona makampuni makubwa yenye mitaji m ikubwa yanakuja kuwekeza Bongo sisi tunabakia kulaumu Serikali wakati wachawi ni sisi wenyewe, tuachane na baishara za kisanii,
 
Tatizo kubwa ni kumsikiliza mtu porojo zake na kumuamini.
Kuna vigezo vya kumwamini mtu.
Mtu anakwambia ofisi yake na ana kupeleka hafu huangalii vigezo vya kutosha kuwa ofisi ni yake.
Hata mimi ilinikumba dizain hiyo.
Ila tuu sikufikanae mbali kwani niliona picha za ku unga unga nika stuka.

Picha si tatizo na wala ofisi si tatizo ishu ni kwamba watu wawe waaminifu kwa sustainable business, Biashara si lazima ofisi na siku hizi techinoljia imebadilika sana, na weza nisiwe na ofsi na wala nisiwe mfugaji lakini nikfanya biashara ya kuuzxa kuku na ninacho fanya ni kuweka oda kwa watu nachukua na kuuza so kikubwa ni uaminifu na si kingine kile
 
Umeongea sahihi kabisa mkuu,nadhani mbali ya kumuanika na kumlalamiki huyu tapeli hapa,inatakiwa wamchukulie hatua stahiki za kisheria ili liwe fundisho kwa matapeli wa namna hii wote wanaotuharibia humu Jamiiforums!kama hela alitumiwa kwa huduma za Mpesa,tigopesa au airtel money,ni rahisi sana kumtia huyu mtu nguvuni na kumfikisha kunakohusika!

Mkuu ishu ni kwamba Watanzania tubadilke tuachane na tamaa za kusaka utajiri kwa short cut, mafanikio si lele mama unatakiwa kuyasotea sasa mtu anapo taka kutafuta mafanikio kwa njia za mkato inakuwa sio, Mkuu mimi nakumbuka nilisha wahi kutuma pesa kwa Wachina waniletee mzigo na nilituma directily kwa supplya, na mzigo ukafika, na so far naweza tuma pesa biala wasiwasi hata ikichelewa najua mzigo utakuja.

Mimi huwa nafanya biashra na wakenya fulani hivi na mwanzoni nilikuwa natuma pesa ndo waanze kutuma mzigo lakini ilifikia mahali wanatuma hata wao mzigo unafika ndo natuma pesa na vise versa so ishu ni kujenga trust
 
Me nlifankiwa kununua samsang tv inch26 hum jf iko powa naitumia mpaka leo-inabid matapel wote tuwaanike hadharan hum jf
 
Hivi unawezaje kucheka au kutoa kejeli kwa ishu kama hii??? Kama pesa hiyo inatumika kunywea bia usiku mmoja inamhusu nini mwenzio anayeitumia pesa hiyo kujikomboa kimaisha kutoka hali moja kwenda nyingine?? No wonder smart people are quitting JF!
and kind people like you are joining JF.how unamwamini mtu na kumpa pesa yako bure uliyoitunza kwa mda kibao?she was smart to save money but not smart to use it.anatakiwa afanye kazi ya kichwa next time kwani kwa sasa niyy kabug step.
najua hiyo ilikuwa win win situation,ni kama kamari aliambiwa atoe laki unusu apate laki 3,and that will never happen in this world.
instead of feeling sorry for her,educate her so she willnt fall in the same situation next time
 
Loh, sasa na wewe ndugu yangu nanunua vifaranga kwa mtu mbona makampuni yako mengi sana wanauza vifaranga, unaagiza unaletewa popote ulipo, au alikuambia anakuuzia sh50?
 
JF ilikuwa zamani hata mimi nilikuwa nanunua na kufanya biashara kupitia JF lakini kwa hivi karibuni sifanyi hivyo utapeli/udanganyifu /uongo ni mkubwa hapa JF siku hizi nikiingia JF ni kupiga porojo na kushabikia mambo ya siasa na kusoma mambo mbalimbali ,lakini linapokuja swala linalohusu pesa najimovuzisha mbali kama kishada,aheri niingie gharama kwa kununua kitu mahala halali kinapouzwa kuliko mali kauli za humu JF,wamebaki watu wachache waaminifu ambao wanjulikana kama akina Baraka,Tanmo,Nextlevel.
ni kweli kabisa ndugu yaani siku hizi.kuaminiana humu JF ni ngumu tofauti na siku za.nyuma watu tulikua tunakopeshana na kuungishana bidhaa mbalimbali kwa kutumoana hela kwenye simu tena kwa uaminifu..tuwe makini jaman JF ya leo imejaa matapeli..
 
Kiukweli Kitomari2 kachafua hali ya hewa humu jf, kwa style hii tutashindwa kusaidiana hata kwenye masuala nyeti kama afya n.k ambapo ili uhudumiwe lazma utume hela kwanza.
Hivyo nawaomba tuendelee kusaidiana kama kawaida.
 
Last edited by a moderator:
POLE SANA,

Huyu jamaa si ndiye aliyewapiga watu wawili humu kwenye batamzinga!

Kuweni makini Sana humu Jf imani 0 kwenye masuala ya pesa nashauri afanyiwe msako wa kiintelijensia anaswe halafu mmalizane nae kimyakimya tu
 
nkuu nakupa pole sana mimi pekee nakiri kunawakati nilitaka kuwanunua ila nikastuka kidogo kwa maana alikuwa fasta sana hadi akanitumia jina lake analotumia kwenye akaunti ya facebook na akaweka picha za hao bata bukini na bata mzinga nilistuka kidogo kwenye ile bei maana mie nawajua hivyo nikamwambia nitakuja Arusha maana nlikuwa na safari ya huko.Kilichotokea nilimpigia simu tutakubaliana tukutane pale tengeru then anipeleke baada ya mie kufika KIA nikamwambia niko hapa so na yeye asogee barabarani ndo akasema poa .nilifika nikapiga simu hakupokee hadi leo hii uzuri ni kuwa sikutanguliza pesa mbele ila kimsingi huyu jamaa anakamatika kwa kuwa hadi sasa anapokea cmu za watu.
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi
 
Duuh nimeponea chupuchupu kuibiwa na huyu jamaa. I almst sent hm my geez sjui nkapatwa na emergency gani nkaitumia hela ile
 
mkuu naona kama hujaelezea vizuri amekutapelije.
Punguza jazba anza taratibu
 
nkuu nakupa pole sana mimi pekee nakiri kunawakati nilitaka kuwanunua ila nikastuka kidogo kwa maana alikuwa fasta sana hadi akanitumia jina lake analotumia kwenye akaunti ya facebook na akaweka picha za hao bata bukini na bata mzinga nilistuka kidogo kwenye ile bei maana mie nawajua hivyo nikamwambia nitakuja Arusha maana nlikuwa na safari ya huko.Kilichotokea nilimpigia simu tutakubaliana tukutane pale tengeru then anipeleke baada ya mie kufika KIA nikamwambia niko hapa so na yeye asogee barabarani ndo akasema poa .nilifika nikapiga simu hakupokee hadi leo hii uzuri ni kuwa sikutanguliza pesa mbele ila kimsingi huyu jamaa anakamatika kwa kuwa hadi sasa anapokea cmu za watu.

kaka yaan ninauchungu nataman ata kumloga
 
Back
Top Bottom