Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

Kitomar2 ni jambaz kanitapeli

bora mimi appoh sina hati chafu ya kumtapeli mtu
 
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu Kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi

pole sana kijana,ilikuaje hiyo mishe?
 
Dah! huyu Kitomari ni mtu wa kuangaliwa sana Kwa nn roho inamruka kwa pesa ndogo kiasi hiki.ambayo hata bati 15 hupati Hizi ni tamaa za kijinga ambazo unawahalibia wafanya biashara waliopo Jf na mm nikiwa mmoja wapo. Sasa kwa style yako ya kupenda pesa za watu na kutofanyanyia kile walicho kuagiza utaliwa tiGO mchana kweupeee tena na Mabata. kiukweli huyu mtu atafutwe na arudishe pesa za watu wote aliowatapeli humu
 
ni kitomari2 muuza vifaranga vya light sussex ndio tapel jambaz nitamloga
 
nakushauri tumloge tafuta mshumaa mwekundu,then ni pm,for further instructions,pesa yako atairudisha yote....hii ni faida na kwa wengine wenye shida kama hizo pm,kwa msaada zaidi

Mshumaa mwekundu na ubani mashtaka muishitakie mizimu....!
 
Bora pawepo na JF MONEY wanakua wanapokea pesa na kuzihold hadi mnunuaji atoe release order kwamba kapokea mzigo wake salama salimini.

haka ka wazo kama nimekapenda vile !!! yawezekana JF wakaanzisha mradi mpya hapa atakae amau hela yake ipitie hapa either mlipaji au mlipwaji anacha % fulan hata mia 2 tuu ni faida tosha , Invisible fanyia kazi hili wazo eti !!au mniite tulijadili pamoja! nafikiria kulitengenezea uzi mpya tupate pia maoni kwanza
 
haka ka wazo kama nimekapenda vile !!! Yawezekana jf wakaanzisha mradi mpya hapa atakae amau hela yake ipitie hapa either mlipaji au mlipwaji anacha % fulan hata mia 2 tuu ni faida tosha , invisible fanyia kazi hili wazo eti !!au mniite tulijadili pamoja! Nafikiria kulitengenezea uzi mpya tupate pia maoni kwanza
hii imekaa poa naunga mkono wazo zuri,pia tufanye expiriment ya kulonga to prove how it works kwa aliye dhulumu
 
haka ka wazo kama nimekapenda vile !!! yawezekana JF wakaanzisha mradi mpya hapa atakae amau hela yake ipitie hapa either mlipaji au mlipwaji anacha % fulan hata mia 2 tuu ni faida tosha , Invisible fanyia kazi hili wazo eti !!au mniite tulijadili pamoja! nafikiria kulitengenezea uzi mpya tupate pia maoni kwanza

cc@Invisible
 
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu Kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi

Mkuu hela ndogo hiyo msamehe tu
 
Last edited by a moderator:
pole petty!
jua wazi kuwa mtandao siyo sehemu ya kuaminia kufanya biashara..kwanza ona watu wengi wana'nick names' kwanini wanaogopa kuweka majina yao halisi kama mimi au baadhi ya watu ambao hawapendi ubabaishaji!?
naomba nikutoe wasiwasi kuwa pesa haziishi ndugu yangu tafuta kwa nguvu na kwa akili yako yote utapata tena nyingi zaidi ya hizo chache ulizotapeliwa...watu wengine humu mtandaoni wanataka waonekane wanamaana kumbe hawana maana yoyote au pengine matapeli wakubwa!
shukuru mungu umeibiwa online kuliko ungetekwa "live" ungeumizwa na hiyo mijitu yenye roho mbaya!
imani zingine nakuachia mkuu kwaher!
 
habar wanandugu mimi ni muhanga wa kutapeliwa pesa na ndugu Kitomari2 nilidunduliza kiasi cha laki na nusu kwenye kibubu nikiwa na nia ya kuanzisha mradi wa kuku hiyo pesa niliipata kwa shida sana nikaandaa banda nikaoder vifaranga 50 nikalipia ila huwez amini tangu mwenz wa nane hadi leo roho inaniuma sana ila najua haki ya mtu haipotei bali itachelewa hilo ni jasho langu nitapambana no matter what tahadhar kwa wengine msije mkapotea kama mimi

Umemkosea huyu bwana, kwa wale wanaojua masuala ya vifaranga, wengine wanakaa miezi hata mitatu hawajapewa mzigo. Je namba yake inapatikana? Je ofice yake haiko wazi? Au biashara mmeifanyia kwenye mtandao? Je kesho akikulipa utakuja hapa kumsafisha kuwa si tapeli?

Je hapa ujambazi uko wapi au ulimpa pesa hiyo chini ya mtutu wa bunduki?

Pole sana, simtetei bali nahisi umevuka mpaka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom