Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
kama nilivosema hapo juu battery test ya nexus 5 imetoka, ni mbaya kusema kweli na nafkiri ndio ya mwisho kwenye simu zenye snapdragon 800
yani na kama ni mpenda browsing ndo haifai kabisa ni masaa 4 na dk 46 inaisha na hapo ipo mpya ukieka apps nyingi itakaa pengine masaa 2
yani na kama ni mpenda browsing ndo haifai kabisa ni masaa 4 na dk 46 inaisha na hapo ipo mpya ukieka apps nyingi itakaa pengine masaa 2