kaka kwenye simu sana vitu viwili ndio humaliza chaji.
1. processor
2. kioo
hii simu ya nexus 5 ni moja kati ya simu zenye processor yenye speed kubwa na nguvu kuliko simu zote za android. processor inavyozidi kuwa na nguvu ndio inavyozidi kula charge. snapdragon 800 yenye speed ya 2.3ghz ndio processor yake.
nexus 5 kioo chake ni full hd yani 1080p. kioo kimejengwa na vipande vidogo dogo vinaitwa pixel. ukisema kioo ni full hd kwa simu ina maana kuna vipande 1900 kwa urefu na vipande 1080 kwa upana . hii inamaanisha na kioo chake ni kikubwa sana hivyo pia kitakula power nyingi.
sababu hizi mbili zinaifanya betry hio iwe ndogo. hebu tuangalie competition zinazotumia processor na kioo sawa battery zao zipoje
1. sony experia z1 ina 3000mah
2.galaxy note 3 ina 3200mah
3. sony xperia z ultra ina 3050mah
4.nokia lumia 1520 ina 3400mah
5.lg g2 ina 3000mah
hapo nafkiri utakua umeona nini nimemaanisha, japo hizo simu zina mabetry makubwa watu wanalalamika kwa nexus je