Kitimoto kilo moja watu tunafyeka lakini kilo moja ya nyama ya ng'ombe hatutoboi, tatizo liko wapi?

Kmoto ni jamii ya samaki na nyama ya ngombe ni red meat...

Samaki vs red meat
 
Ng'ombe choma namaliza kilo

Kitimoto kavu namaliza kilo 2

Kitimoto roast namaliza kilo na nusu

Samaki sato napiga kilo 2
 
Wakuu ukienda ukaagiza Nyama kiti moto kilo moja unakula na kumaliza fasta hata wakati mwingne unatamani kuongeza, hebu piga Picha Nyama kilo moja ya ng'ombe huko nyumbani tunakula watu kumi na inabaki

Swali hivi kweli ile Nyama inakuwa ni kilo moja Au wanatuibia? Inakuwa kweli ni kilo moja ile Nyama ya kiti moto? Au wanatuibia? Au kuna sababu ingine?
Inakuwa tamu sana
 
Vitu vyote haramu tamu sana, ukiambiwa kitu ni haramu fikiri mara mbili mbili.. Haaa..
 
Hata ya kitimoto ukila kila siku utakuwa humalizi.
wanasemaga waswahili kuwa asali tamu lakini huwezi kumaliza chupa kwa pupa lazima uje unaonja kidgo unaondoka tena alafu unarudi tena unaonja tena na tena mpaka chupa inaisha sio mm ni waswahili hao
 
Vitu vinavyoonekana haramu ndo huwa vitamu ndugu.. ile ngoma ikikaangwa ukiulizwa hata jina lako unaweza kulisahau kwa muda.. yule kiumbe anakula hadi mbao au hata watoto wake.. lazima awe mtamu tu..
Au kinyesi chake
 
mkuu unamaanisha hii au?
51699161_1888915584551575_9217906154099703808_o.jpg
 
Back
Top Bottom