Kitimoto kilo moja watu tunafyeka lakini kilo moja ya nyama ya ng'ombe hatutoboi, tatizo liko wapi?

Wesio wakwanza kukusikia ukiongea hvyo ila kuna siku nlipeleka familia tupige lunch pale nlijuta aisee kwanza wapo slow pili wanaiba uzito tatu nyama yao ya kawaida sana pia raha ya hii nyama uipige live bila makorokoro salamu zimfikie mshkaji mmoja hv fundi sana wa hii nyama alikuwa pale sinza darajan saiz kahamia road yakwenda Salma Kikwete mwingine ni pale Singida karibu na meatu hotel wale Jamaa nao hawana mbwembwe kabisa tukienda Moshi pale kiborolin kwenye contena Kule Tanga mule ndan sabasaba wengi wez sema kuna dogo mmoja yupo opposite na Tanga pazuri upande wa vibanda vinavyozunguka uwanja sema sio msafi kihivyo na pale Dodoma jiran na cbe pale sijui kama bado wapo wale Jamaa
Siku hizi wapo vizuri kuna siku walinizingua niliwapiga mkwara mzito naona wamejirekebisha
 
Daaah, hiyo kitu naipendaga sana ikitayarishwa kwa mtindo wa makange vitunguu kwa wingi , pilipili , hoho, karoti tangawizi na njegere .

Kaugali kadogo/ ndizi 2

Sprite/Pepsi/ castle lite

K- vant/ maji.

Tumbo linatuliaaaaa!!!!
 
Labda nielekeze kwa kifupi tu....
Nyama ya ng'ombe ni km mke wa ndani wkt kitimoto ni sawa na mchepuko.... ✌️✌️

Mengine Ongezea mwenyewe...... 😀😀
 
Mwanamke unakula kilo nzima peke yako na unataka uongeze? ila siku ya kwanza kukutana na mwanaume unajidai huwez kumaliza hata finyango 3
 
Back
Top Bottom