Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,548
Reaction score
89,516
Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa.

Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze katoliki waje na mawazo mapya. Mbinu zenu hizo za akina hitler Tanzania inazijua. Tanzania siyo ya kanisa, Tanzania ni ya watanzania, serikali ya Tanzania inajiamulia mambo yake yenyewe. Mipango yenu imeshindikana na Tanzania na watoto wa Tanzania watakukumbuka kwa kuongea uongo huku ukitetea maovu.

Wambie wajerumani kuwa tunawajua, na uchumi wao unaelekea kufa. Uchumi wa ujerumani unategemea kuiba kuua watu na ujambazi huko DRC. Unataka kuwakaribisha wajerumani hapa!!

Mzee Kitima unataka kutuletea ukoloni!!!
 
Tafakari tu ,kuwa kitima ndio Baba yako.
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”

Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali mbalimbali, wamekuwa mashahidi wa kile kilichotokea, ikiwemo kupokea miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na kupigwa risasi za moto.
 
ila hii nch inawajinga wengi sn , yaan ccmu ya leo inatia aibu kbs , Kitima kaongea kwa hoja , ww hoja yako ni ipi ?

Unanufaika nin na kutetea tabia za hovyo ?

Unajua hatima ya hz tabia ?

Kwann mnapenda utomaso ? hv unaamin watu watakaa kimya wawaache muemdelee kuwaua ?

Itafika muda watu watatafuta silaha na kuanza kuwawinda na nyiny ? hv ndo mnataka ?

Aman haiji kwa kuweka mbele ubinafs , lzm uheshimu uhai wa mtu .

Mtu mmoja ww unamuua kisa katoa maoni , bas ujue umeeua watu zaid ya watano waliokuwa wanamtegemea

CCMU ANZEN KUWA NA UTU MLIPOFIKIA SI MUDA MTAANZA KUTIA HURUMA
 
Aweke ushahidi wa hayo. Hizo ni mbinu zao hao kuiinbgiza Tanzania kwenye machafuko.
Also hayakuwepo maandamano siku hiyo ilikuwa vandalism.
 
ila hii nch inawajinga wengi sn , yaan ccmu ya leo inatia aibu kbs , Kitima kaongea kwa hoja , ww hoja yako ni ipi ?

Unanufaika nin na kutetea tabia za hovyo ?

Unajua hatima ya hz tabia ?

Kwann mnapenda utomaso ? hv unaamin watu watakaa kimya wawaache muemdelee kuwaua ?

Itafika muda watu watatafuta silaha na kuanza kuwawinda na nyiny ? hv ndo mnataka ?

Aman haiji kwa kuweka mbele ubinafs , lzm uheshimu uhai wa mtu .

Mtu mmoja ww unamuua kisa katoa maoni , bas ujue umeeua watu zaid ya watano waliokuwa wanamtegemea

CCMU ANZEN KUWA NA UTU MLIPOFIKIA SI MUDA MTAANZA KUTIA HURUMA
Kama ametaka Serikali ikiri na yeye anatakiwa akiri kuwa 29 haikuwa maandamano ilikuwa vandalism. Kama anakwepa hilo jambo, basi huyo ni kama mapadri wa Rwanda waliosababisha mauaji ya kimbali.
 
Jamaa waambie waaafidhina wa CCM dunia imebadilika.
Vijana hawaongopewi na propaganda za enzi za Soviet Union.
Muda wenu umeisha.
Hii nchi yetu sote siyo ya familia chache.
Waambie Katoliki hivyo nchi hii siyo ya Kanisa.
 
Amekiri
Nenda kamsikilize vizuri
Ili uache kutumia masaburi kufikir
Mzee karudia mara 100 na zaidi anasema maandamano na ali quote Katiba. Na anatakiwa atoke hadharani kabisa aseme hayo hayakuwa maandamano, ndio tutaanzia hapo. Huwezi kuwanyoshea wenzako kidole wakati na wewe siyo msafi.

Je, hayo yalikuwa maandamano?
 
Jibu hoja za Kitima shekhe ubwabwa
Hana hoja Kitima. Zaidi ya kuingiza siasa kwenye dini tu. Anajaribu kuipigania ujeruman. Too late Tanzania inajua mbinu zao. Na wale waliokuwa wanataka kulipua interest kubwa kubwa za nchi wote wapo jehanaamu.

Vijana wote waliotumwa na hao watu.
 
Mzee karudia mara 100 na zaidi anasema maandamano na ali quote Katiba. Na anatakiwa atoke hadharani kabisa aseme hayo hayakuwa maandamano, ndio tutaanzia hapo. Huwezi kuwanyoshea wenzako kidole wakati na wewe siyo msafi.

Je, hayo yalikuwa maandamano?
Hivi ukilala nafsi haikusuti juu ya mauaji
 
Propaganda za kizamai za udini haziuziki kwa kizazi kipya cha GenZ.
Hamuondoi tatizo bali mnahairisha na kulikuza tatizo.
Mwambie Bikra Kitima janja za Ujerumani, Uingereza inazijua zote. Arudi tena huko European Union akaongee nao. Kwikwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom