Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Kama tuhuma zinatosha kumweka mtu jela bila ushaidi basi hakuna maana ya sheria na mahakama. Unafiki ni huu wa kusema mtu ameiba bila kuthibitisha wizi wake.
Mbona kwenye Kesi Za mauwaji, watuhumiwa hukaa ndani Kwa miaka mingi, kabla ya hukumu. Na hujawatetea kwamba waachwe mpaka hapo hiyo huku my ikatendeka au Kesi kuanzia.
 
Hii sheria ya uhujumu uchumi iangaliwe upya
Kwa maoni yangu ni sheria mbaya. Waendesha mashtaka wanaweza kutumia sheria hii kuweka oibgamizi la dhamana hivyo kuwaadhibu watu kwa kuwaweka ndani muda mrefu kuliko hata muda wa kifungo iwapo mtu atakiri au atapatikana na kosa husika. Kwa sheria hii ilivyo kama kesi itaendeshwa kwa miaka saba au kumi mshtakiwa atakaa mahabusu muda wote huo!
Ajabu ni pale atakapo patikana na hatia yawezekana akahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela! Na iwapo hatakutwa na kosa tayari mtu huyu anakua amesha adhibiwa kwa muda wote atakaokaa ndani
Haya sijui kwa nini Lissu hakuyaona
 
Tanzania buana, mtuhumiwa anakamatwa kwanza,upelelezi ndo unaanza akiwa jela... What if akija onekana hana kosa na mahakama kumwachia huru, will the Government pay the damage to rebuild their reputation???

Alisema Gambo hata akitoka au kushinda kesho cha moto amekiona


Issue si haki za mtuhumiwa issue ni kuonyesha naomba gani unamadaraka n.a. unaouwezo wa kunyanyasa adui zako.

Waliokuwa na Madaraka ya kutoa matatizo ya serikali hawajaguswa mpaka sasa kuanzia Katibu wa wizards hadi waziri wa fedha
 
Alisema Gambo hata akitoka au kushinda kesho cha moto amekiona


Issue si haki za mtuhumiwa issue ni kuonyesha naomba gani unamadaraka n.a. unaouwezo wa kunyanyasa adui zako.

Waliokuwa na Madaraka ya kutoa matatizo ya serikali hawajaguswa mpaka sasa kuanzia Katibu wa wizards hadi waziri wa fedha
Unafikiri zile mia mbili mia mbili za Lowassa akigawa makanisani zilitoka wapi !? Hata Sumaye zilimlalamisha sana, ajabu akaamua kwenda kuwa ADC wa Lowassa. Daah...ndo maana jamaa akasema kuna malofa huko !
tapatalk_1509282710994.jpeg
 
naomba mwenye kuifahamu hii familia ya shosee ilipo naomba anisaidie details ili nipeleke posa ya kumuoa shosee'natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom