Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Tanzania buana, mtuhumiwa anakamatwa kwanza,upelelezi ndo unaanza akiwa jela... What if akija onekana hana kosa na mahakama kumwachia huru, will the Government pay the damage to rebuild their reputation???
tunaposema tunaishi kwenye nchi inayofanana na choo wengine wanaona hatuna uzalendo na nchi yetu,huwezi kumkamata mtuhumiwa bila ya kwanza kukamilisha upelelezi,ila sie tunafanya other way round ndio maana hizi kesi zote hasa zenye public domain DPP ameshindwa mahakamani,na mbaya zaidi kesi za madai dhidi ya serikali hazijawa tested mahakamani,sijui imeishia wapi kesi ya Mh.Mbowe dhidi ya DC,au sijui Mr.Manji kama kafungua kesi ya madai dhidi ya serikali.
 
Hivi visasi kuna siku isiyokuwa na jina vitalipika. Eti awamu ya pili kutoka uingereza! Kama kweli waingereza wako slow hivyo kwenye upelelezi basi sio uingereza ninayo jua. Ikanikumbusha uchaguzi wa Kenya kuwa wenye server huko ufaransa bado kwao ni usiku hivyo bado hawajaamka. Kamwe vituko havitaisha Africa.
 
Nadhani ifikie hatua hawa wanaoshinda wawe wanafungua kesi za madai ili serikali iache kukurupuka na kuwabambikia watu kesi
 
Back
Top Bottom