Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

hii familia ina hela na vitega uchumi balaa na walikuwa na uwezo wa kutuchagulia rais kwa mgongo wa mabadiliko. wiki mbili kabla ya kura mama yake na shose Ave sinare alihama ccm na kuja chadema wakati kihalisi hawa watu wamekulia ccm na ndiko walikotajirikia
 
naomba mwenye kuifahamu hii familia ya shosee ilipo naomba anisaidie details ili nipeleke posa ya kumuoa shosee'natanguliza shukrani
Leo ndo naona wanataka warudishiwe fedha za prebagain .sisi watanzania ni wanafiki sana kwa kwwli
 
Back
Top Bottom