Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,114
Kawakatie rufaaHaina uhusiano na usalama wao
Kawakatie rufaaHaina uhusiano na usalama wao
Mkuu ungekuwa hakimu bila shaka ungempa dhamana peke yake, tena anajidhamini mwenyewe!Duh, Mdada mrembo sana huyu.
Uhujumu uchumiKwani hawadhaminiki?
Makosa yao hayana dhamana?
Ditopile hakukaa rumandeKukaa rumande ni kwa usalama wao mkuu
Mkuu nitajie siku yangu ya kufa.Mkuu ungekuwa hakimu bila shaka ungempa dhamana peke yake, tena anajidhamini mwenyewe!
Wacha aendelee kusota, malipo ya ubaya ni hapa hapa alinifukuza tra kwa sababu sikuwa mchaga ili aajili wachaga wenzake
Lipo shitaka la 8 au la 9 kama sikosei la UTAKATISHAJI wa FEDHA(MONEY LAUNDERING),wali-struggle mawakili wao lichomolewe WALISHINDWA lenyewe halina DHAMANA.Kwani hawadhaminiki?
Makosa yao hayana dhamana?
Mpeleke huko rumandeDitopile hakukaa rumande
Waswahili wanamsemo kuwa "Hujafa, Hujaumbika" na "Aliye Juu mngoje chini"![]()
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa kampuni inayoshughulikia uwekezaji wa mitaji na dhamana (Egma), Harry Kitilya na waliokuwa maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon bado wanaendelea kusota rumande kutokana na upelelezi wa kesi inayowakabili bado haujakamilika.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi ameeleza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa leo Ijumaa kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.
Pia ameeleza kuwa bado wanasubiri awamu ya pili ya upelelezi kutoka nchini Uingereza, kutokana na hilo ameomba kesi hiyo ipangiwe tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.
Baada ya ombi hilo Hakimu Mwambapa ameahirisha kesi hiyo hadi Novemba 10, 2017 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia kama upelelezi utakuwa umekamilika ama la.
Mwananchi
Mie sio DPPMpeleke huko rumande
Ndo walivyo wachaga - wana roho mbaya sana na ni-wakabila!!