The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Nilivyomuelewa Kitila anataka haya mambo yawe kwenye Katiba na sio tu mtu unaamka asubuhi unatangaza kufuta au kubadilisha jambo fulani alafu unaweka miguu juu ya meza na kutikisa kichwa Kazi imekwisha.....Nchi za Wenzetu huwezi ukabadilisha tu kila jambo kwa Utashi wako bila kuwa Na Maridhiano ya Kitaifa. Sera za Elimu zinapaswa ziwekwe kwenye Katiba.