Uhalisiainaonekana unataka cheo cha kitila mkumbo hapo udsm na nafasi hio imejaa hupati chuku zako hazitakusaidia umbea umekujaa zaidi kuliko ualisia
Huyu jamaa ameandika kishabiki km si kimipasho. Anaonekana anachuki binafsi na Kitila !
Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Kitila, kuondoka ukumbini huku machoi yakimtoka kweli ilikuwa aibu kubwa
Kwani Kitila Mkumbo bila UDSM hamna maisha mbona Prof Baregu alifukuzwa UDSM na maisha yanaendelea.
Kustaafu kivipi wakati inaeleweka ni mshenzi.Kafukuzwa acha porojo hapa jukwaani
Duh kweli tunatofautiana uelewa. Hapa Kitila aliamliwa asiwe mwenyekiti wa kikao kwani yupo rikizo. hajaondolewa uenyekiti wa UDASA wala hajafukuzwa chuo.
Acha uongo wako wewe plato hata mie nilikuwepo ukumbini pia
Yaani mnatetea kufukuzwa kwa kitila mkumbo? Mbona mnatia aibu? Ndio keshatimuliwa sasa
Your comments always reflect your ID
Ngoja niwahi seat ya mbele hapa.
zingatia pia kuwa mwalimu wake alihongwa laki 2 na ZitoMbali na yote yaliyosemwa kuhusu Mkumbo, bado namkubali huyu mwalimu wangu. I graded him 2nd among my teachers at the university. First was Dr. Kakiko.