Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

hiyo laki 2 nimecheka sana mkuu, hata malaya hatuchukui ni kidogo sana ukilinganisha na Tsh ilivyoshuka.

........duuuh malaya wa bei mbaya sana wewe SAYARI !!:confused2::A S 100:
 
Last edited by a moderator:
uko likizo lakini unarudi kusimamia tafiti na report za wanavyuo! UROHO WA PESA ZA HONGO TU! hooovyooooo...
 
Katika hili tumuunge mkono Prof Kitila Mkumbo, hajavunja sheria yoyote wala katiba ya udasa yao. Ni chuki binafsi na kuingiza siasa kwenye kazi. Muacheni Prof Mkumbo afanye siasa kwa utashi wake ili mradi asivunje sheria
 
Wew ni mangi nin ? Kwa hiyo kwa akili yako unajua kila kitu mtu akifanya ni hela tu anatafuta
 
Akaoge maji ya kifuu maana full majanga kila akipiga hatua anakutana na nuksi, mikasa, balaa, laana bini mikosi.
 
HAHAHAHAHAHAH....Unajifanya huelewi tu....

Hajafukuzwa ajira ya ualimu

Amefukuzwa uongozi wa chama cha wanataaluma wa UDSM

Ana damu ya kunguni yeye na wenzake...kila anapoenda anafukuzwa...hahahaha

Hajafukuzwa,kajiuzuru
 
Katika hili tumuunge mkono Prof Kitila Mkumbo, hajavunja sheria yoyote wala katiba ya udasa yao. Ni chuki binafsi na kuingiza siasa kwenye kazi. Muacheni Prof Mkumbo afanye siasa kwa utashi wake ili mradi asivunje sheria
Sisi watu wa kijijini huku tutapata faida gani?
 
Huwa natofautiana na mambo ya Prof. Mkumbo ila kwa hili wamemuonea waziwazi. Kuna harufu ya personal issues hapa hasa toka upande wa management ya UDSM. Ila naona ana support ya ordinary members.
 
Wasaliti malipo yao ni hapahapa duniani ndo itakavo kuwa hivo hivo kwenye chumba cha kupigia kura.
 
sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. utamtumikia sana kengeza lakini mwisho wako ni aibu. cheki sasa plato alivyokuumbua.

Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Kitila Mkumbo ambaye ni mwanachama mwandamizi wa chama cha ACT, ikumbukwe kuwa Kitila Mkumbo kufikia jana alikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDASA), Kitila amekikalia kiti hicho kwa mda mfupi sana kuliko wenyeviti wote na kuandika rekodi.

Jana UDASA walikutana kwenye kikao chao cha kawaida kama ilivyo vikao vingine ila ijulikane kuwa Bwana Kitila Mkumbo alikuwa Sabbatical Leave ila cha kushangaza wasomi hao wa UDASA ni kumuona mtu aliyekuwa kwenye leave aki chair mkutano huo wa UDASA, Ndipo hapo wasomi nguli wa sheria kutokea kitivo cha sheria cha UDSM walianza kuhoji, wakipewa sapoti na Profesa Mkandala kwa nini mtu aliye kwenye likizo aje kuongoza kikao? Nini maana ya likizo? Au ndio Unkurunziza wenyewe?

Bila aibu au adabu Bwana Kitila Mkumbo alianza kujibizana na Maprofesa hao nguli na hata kumjibu shombo Prof Mkandala hali iliyopelekea Maprofesa hao kumshambulia ipasavyo pamoja na kueleza madhaifu yake yote ya Kitaaluma na Kinidhamu, walianza kumuelezea kuwa Mojawapo ya makosa anayoyafanya kama mwenyekiti wa UDASA ni kulitumia jukwaa hilo la wasomi kujijengea umaarufu wake binafsi pamoja na kuliigeuza kuwa jopo la kisiasa badala ya kuwa jopo la Kitaaluma, walimsema kuwa amekuwa akilitumia jukwaa hilo la wasomi kueneza propaganda za chama chake cha ACT hali iliyopelekea ukumbi mzima kuzizima kwa kelele na kumtaka Ang'oke haraka sana kabla hajang'olewa kitini hapo maana hakimfai tena.

Kitila Mkumbo kwa aibu kubwa huku akiwa anatiririkwa na machozi kwa jinsi alivyoanikwa hadharani atemeshwa mzigo. Hivyo basi nawaomba mjue kuwa kufikai mda huu Ndugu Kitila Mkumbo siyo Kiongozi wa UDASA tena.

Ameingia kwenye historia ya kuwa kiongozi alietimuliwa kila sehemu anayokimbilia, alianza CHADEMA, wakamtimua, akaenda ACT akatimuliwa akarudishwa na genge lake, sasa katimuliwa tena UDASA.

Pole sana ACT, Pole sana Kitila Mkumbo.
 
Back
Top Bottom