Tukwazane Taratibu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 195
- 539
- Thread starter
- #21
Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Kitila, kuondoka ukumbini huku machoi yakimtoka kweli ilikuwa aibu kubwa
Hajawa Profesor bado
Bado ni "Associate" Profesor
Bado wanamtazama
fine, wanamuwekaje kwenye hiyo 'threshold' wakati ni dhahifu.
Hapo nami ndio nakuwa na mashaka, au ni uprofesa kama wa Dk. Remmy na wezake akina Dr Profesa!?"... madhaifu yake yote ya kitaaluma ..." - sasa walimpaje u-professor kama nao sio dhahifu?
Kwani Kitila Mkumbo bila UDSM hamna maisha mbona Prof Baregu alifukuzwa UDSM na maisha yanaendelea.
Sio kweli. Kilichotokea ni kwamba utawala walikuja na hoja kwamba Prof. Mkumbo hastahili kuendelea kuwa kiongozi wa UDASA kwa sababu yupo sabbatical leave. Hata hivyo, wanasheria walibishana na ku-conclude kwamba ukweli hakuna sheria inayomzuia kuendelea kuwa kiongozi wa UDASA. Wanachama waliulizwa wangapi wanataka Prof. Mkumbo aendelee ukumbi mzima ukanyoosha mikono. Hata hivyo, Prof. Mkumbo aliposimama alieleza kwamba pamoja na kwamba ana haki zote za kuendelea kuwa Mkiti wa UDASA anaomba ajiuzulu kwa kuwa inaonekana utawala hawamtaki. Hata hivyo hajakubaliwa bado kwa kuwa inabidi aandike barua. Kuna mjadala mkubwa unaendelea na kuna uwezekano mkubwa barua yake ya kujiuzulu ikakataliwa.
Chanzo cha yote haya ni tabia yake ya kuanza kuandaa tena makongamano Nkrumah ambapo yaliisha katika siku za hivi karibuni. Kilichokera zaidi ni majuzi yeye kuandaa kongamano liliisulubu serikali kuhusu sheria mpya za mitandao na takwimu.
Kwani Kitila Mkumbo bila UDSM hamna maisha mbona Prof Baregu alifukuzwa UDSM na maisha yanaendelea.