Wandugu
Hii habari inaweza kuwa na ukweli ndani yake (sina other source za kuthibitisha) sababu kuna kitu nilitegemea kutoka kwake lakini hakukamilisha. Isipokuwa kwa Mhe Kitila Mkumbo kushikiliwa na wana usalama London, mimi sitokuwa na wasiwasi kwa sasa. Kitila Mkumbo yuko makini na London sio Tanzania. Mimi naona tuvute subira kidogo.
Sitaki kuandika mengi hapa incase kweli yupo matatani. Mwenye taarifa mpya zaidi ambazo hazitamuweka Kitila matatani zaidi basi atudondoshee hapa.
Kwa sasa namtakia afya na amani huko alipo.