Kitila Mkumbo ashikiliwa na wanausalama London

Status
Not open for further replies.

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Kwa sababu ya kuuliza swali la EPA

nimepata taarifa usiku wa manane

sijui whats going on lakini nipeni couple of hours unless mwenyewe aje humu ndani kutupa updates
 
When did u learn about this? Have u got any clues regarding to what is he charged about?
 
Brazamen,
Habari hizo ni nzito ukizingatia Kitila ni mwenzetu hapa jamvini hivyo tupe picha kamili ili tumjue nani anataka kutunyamazisha hapa JF.
 
Brazamen,
Habari hizo ni nzito ukizingatia Kitila ni mwenzetu hapa jamvini hivyo tupe picha kamili ili tumjue nani anataka kutunyamazisha hapa JF.

Natoa pole kwa ndugu yute Kitila, natoa wito kwa wana JF kuendeleza mapambano na kutoogopa kitu, JF NI MWIBA, na utaendelea kuwachoma, hawawezi kutunyamazisha

TUNASUBIRI HABARI ZAIDI
 
Hizi ni habari mbaya kabisa!!!

Ni dhahiri kwamba walikuwa wanamtafuta kwa muda mrefu kama JF member na sasa wamepata nafasi ya kumkamata kupitia mgongo wa kuuliza swali la ufisadi EPA.

Kwa kweli tuna safari ndefu. Lakini nina uhakika hatua hii itazidi kuichafua serikali ya Tanzania.

Tupeni habari kinachoendelea dhidi ya huyu shujaa.

Aluta continua.
 
Ina Maana Alifanya Makosa Kwenda Katika Mkutano Wa Watz Hapa London ? Wale Ambao Walikuja Nae Wana Taarifa Zaidi Walipotoka Walienda Wapi Mpaka Walipokamatwa
 
Habari hizi ni makini? Wanausalama wa Tanzania au wa wapi?

Kama serikali ya Tanzania inataka bad press kimataifa waendelee kumshika, tunaweza kufanya kampeni ya expose itakayofanya Mugabe aonekane boy scout tu.
 
Jamani,mwenye taarifa na habari hizi aendelee kutufahamisha ili kama ni kweli tuanze kujipanga.Haya mafisadi yamezidi kunyanyasa watu.
Tuleleeni taarifa kamili wajameni
 
Brazameni mbona na simu yako pia inaenda voice mail? Nataka confirmation kabla sijawasiliana na Balozi wa UK aliye Tanzania. Mwenye uhakika na jambo hili?

Si suala la kukalia kimya hili
 
Please can any one with info update us on current Status. Invisbl Umefikia wapi? Any updates
 
Brazameni mbona na simu yako pia inaenda voice mail? Nataka confirmation kabla sijawasiliana na Balozi wa UK aliye Tanzania. Mwenye uhakika na jambo hili?

Si suala la kukalia kimya hili

Mr Robot that's good idea.

They cant stop waterfalls with shingles.Freedom of expression it's like sunset and sunrise.So you cant stop the in born nature of people.

The sun comes up and the sun goes down, and goes quickly back to the place where he came up.
 
We wish him all the best!

Hakuna suprise kwa Kitila ... alikuwa anategemea vitu kama hivyo .. so wajue kabisa kuwa atabakia very very strong!!

Please Tunaomba habari zaidi!

Na kama kuna msaada wowote unaohitajika... tufahamishane!
 
Hizi habari zimethibitishwa lakini? Hao wanausalama ni wa UK au wa Tanzania? Kama hizi habari ni makini basi tulioko UK tuwe vigilant wasije wakajaribu kumtorosha nchini ala "Umaru Dikko" style.
 
Wandugu

Hii habari inaweza kuwa na ukweli ndani yake (sina other source za kuthibitisha) sababu kuna kitu nilitegemea kutoka kwake lakini hakukamilisha. Isipokuwa kwa Mhe Kitila Mkumbo kushikiliwa na wana usalama London, mimi sitokuwa na wasiwasi kwa sasa. Kitila Mkumbo yuko makini na London sio Tanzania. Mimi naona tuvute subira kidogo.

Sitaki kuandika mengi hapa incase kweli yupo matatani. Mwenye taarifa mpya zaidi ambazo hazitamuweka Kitila matatani zaidi basi atudondoshee hapa.

Kwa sasa namtakia afya na amani huko alipo.
 
....if it happens to be true, they'll fail miserably!! paranoid - obnoxious %$£&*s
 
Invisible mimi ninaona ina faa uwasiliane na huyo balozi Na yeye atawasiliana na watu wao.
Yeye balozi anajua jinsi ya kufuatilia issue kama hizo hata kwa kuulizia tu from Tanzania Side, sasa wakisema uongo ndipo Diplomatic Row huwa zinaanzia hapo.
Tukichelewa utasikia Mambo ya Umaru DIko.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom