Kiti kung'ang'aniwa 2030

Magufuli aliwahi kutengeneza wajinga fulani akina Juma Nkamia wakaanza kujipendekeza kupeleka hoja hizo bungeni.... Na kwa taarifa bunge lilikuwa linaenda kubariki upuuzi huo.... Lakini kumbe Mungu akaingilia kati..... sasa kuna wajinga wameshaanza kufanya mambo haya kwa Mama Samia... Huyu mama tunampenda amalize muda wake msije kumletea majanga kwa tamaa zenu... Juzi kuna zuzu moja bungeni limeanza kulete takataka hizi.... Za akina Nkamia na Ndugai... Eti Atake asitake.. Tutamuongeza muda. ...wote wako kuzimu leo. God is Great
 
Acha uongo
Mzee wa Msoga ndiye alikuwa anasambaza hizo taarifa na kikundi chake ili kumuharibia JPM..
JPM ndiye mwenyewe alipenda sana mambo haya.... Kuna siku alikuwa Anazindua miradi akajisemea eti.... Hivi siku sipo hii miradi nani ataiendeleza?.... Magufuli ndiye rais wa kwanza kutengeneza hali ya kuabudiwa, Magufuli ndiye muasisi wa kuhitaji kuongezewa muda! Magufuli ndiye kinara wa kutengeneza akina Kangi Lugola na Kabudi wakaanza Kumuabudu kama Mungu wao, matukio ya watu kutekwa kwa kasi yalianzia kwenye utawala wake, umesahau matukio ya Kibiti, je ile video ya Magaidi wa Msumbiji na eneo la Kitahiya hukuiona? Hayo yote Watanzania leo mmeyasahau? Naamini Magufuli angekuwepo angefuata nyazo za Kagame japo walikuwa wameshakuwa maadui
 
Hawezi kufanya hivyo maana siku zote ndio style yake ndio hio kutanguliza machawa wamuongelee alafu yeye anakuja kumalizia tu, ndiomaana hakanushi
 
Kupotea kwa POLEPOLE kunaniumiza kwani yeye ni binadamu kama mimi anayo haki ya kuishi kwa uhuru kama wengine, lakini kwa upande mwingine wa shilingi naamini linapaswa kuwa somo... Kipindi cha Magufuli POLEPOLE alikuwa kama Maliyamungu wa Uganda kipindi cha Idd Amin, yaani nikikumbuka nasema Mungu anaishi kwelikweli. Akina Mnyeti, akina Sabai, akina Makonda, na wengine wengi... Chalamila eti baada ya kupokea taarifa za Msiba wa Magufuli...anamwambia mke wake eti hebu nishike hapa kifuani au mimi ndiye nimekufa...., kile ki Sipiriani Musiba, Mzee mmoja alisema Mungu amshukuru Magufuli, walijitia uzalendo uliopindukia, uzalendo uliolenga tu kumfurahisha mtu mmoja na si
kulifurahisha taifa au kuliinua taifa. Ningekuwa Mh Samia hawa wote sasa hivi wangekuwa tu nimewatia korokoroni. Vijana tujifunze vyeo si kwa ajili ya kutenda watu vibaya maana haya maisha ni ya muda tu bali tenda haki bila kujali alafu endelea na mambo yako.
 
😆 Ya leo kali
 
Huyu mama kabakiza miezi 45+ muda wake utamatike...Lakini anavyowashughulikia watu ni as if ana agenda ya kurefusha presidency yake.

Raisi aliyekatika dakika za jion hana sababu za ku-behave hivi.
Kila siku ni kupangua safu, na kupanga safu mpya.
Bado ni mraibu wa kusifiwa hadi leo.
Usiposikika ukimsifia public huonwi.
Mtoa mada hajaongea jambo la ajabu au geni Africa hii.
 
Udini
 
Haiwezi tokea hiyo. Wenzie walikaa pembeni.
Unaamua kabisa kujizima data unasahau kama humuhumu ndani kuna watu walisema watanzania hawawezi kuandamana wakaandamana Tanzania ya leo kila kitu kinawezekana na wana CCM watakubali na maisha ya kama Uganda yataendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…