Kiti kung'ang'aniwa 2030

Anaweza kugoma kutoka kwa sababu ya kuogopa mashtaka ya mauaji.Pili,uongozi/uongo umemfanya adhanie yupo juu mawinguni/untouchable.Tatu,uhondo,kunyenyekewa na kufanywa nusu-mungu unamfanya mtu kuwa zuzu-nguli.
Yes.
Hasa hili la kuogopa kushtakiwa ndiyo linaniwazisha.. Akiwaza kuwa niache hii Heshima yote nije kuitwa Mtuhumiwa na kuanza kupandishwa Vizimbani ilhali ninaweza ku twist mambo niendelee kuwatawala Mpaka pale Roho itakapoacha mwili..
 
🤔🤔
 
Ni kwamba amekuwa ni msahaulifu, jeuri, kiburi na mkaidi kiasi hicho! Ni kwama atakuwa amesahau kilichotokea Oktoba 29, 2025 na misukosuko yote iliyofuata baada ya hapo!

Sawa. Muda ni rafiki mzuri. Ngoja tusubiri tuone.
 
Mbona kipindi Cha jiwe alikuwa anapigiwa chapuo aendelee.

Hakuna kipya
Kisima ni kile kile
Maji ni Yale Yale
Ila mwataka kubadilisha kata
Aendelee
Huyu nchi imemshinda , jambo hilo hata hao ccm sidhani kama wanalitaka
 
Ila kuiba , kuteka na kuua ndio mambo yenu😁
 
Ila kuiba , kuteka na kuua ndio mambo yenu😁
Umesahau magufuli ndo alitengeneza hii department,

Nadhani SSH kashindwa kuifuta tu, amepunguza tu viroba vya watu haviokotwi tena kunduchi.

Au mmesahau viroba vilivokuwa vinaokotwa kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…