Kinatembea kila aendapo mkuu hicho kina bajeti yake vingine havifai !
hahhah vasco da gamahuenda ni sharti la shekhe yahaya kwamba asikalie kiti kingine, ipo siku ****** ataanza kwenda nacho kwenye zile safari zake za kuzunguka dunia. Yetu macho

Magwanda saa zingine mnakuwa makomedian, mkikosa vya kuandika mnarukia mpaka kiti?

Ama kwa kweli "akutukanae hakuchagulii tusi"

Serikali ya TZ hili ni la kawaida tu, kuna mshkaji alikuja kutoka kiwanja, kaenda kufanya kazi Ofisi ya Makamu wa Rais, anakwambia kuna vizee vikihama ofisi lazima kuhama na kiti, na sio kwa sababu za ergonomic advantage.
Samahani wadau, najua suala hili lilishawahi jadiliwa sana humu jamvini, lakini naomba tena kuuliza ili wanaolifahamu vizuri watujuze nasi. Jana usiku taarifa za habari za itv na tbc zilimuonyesha JK akisaini kitabu cha wageni kule VETA Ntwara (sijakosea, ndivyo inavyotamkwa), akiwa amekalia kiti kinachofanana kabisa na kile anachotumia siku zote akiwa Ikulu. Je, ni kile kile ila kilisafirishwa tu kwa kazi hiyo, au vipo vingi hata VETA wanavyo?