Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 897
- 1,507
Training, Research, Regulations and PRODUCTION.
1). Utafiti wa kilimo(TARI)
2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI)
3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA)
4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA)
5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP).
Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga... Kama tunaingia gharama kubwa ku-fund utafiti na Uzalishaji mbegu kwa lengo la kuleta tija(mapato), sasa kwanini dhumuni lenyewe tusilifanye kwa ukubwa wake (seriousness).
Kupitia Maafisa Kilimo kwa kila kanda wanakua na vituo, vilivyowezeshwa kitaalamu, kufanya Uzalishaji bingwa wa mazao... Kwa (tija)faida na elimu ya vitendo yenye hamasa kubwa kwa wakulima.
Huku wakishirikiana na extension officers kwa issues za ku-coordinates na local government.
MUENDELEZO
Mabonde mazuri ya kilimo ambayo bado hayajafunguliwa rasmi na yana potential kubwa endapo yajengewa skimu ya umwagiliaji yasitafutiwa wawekezaji bali yaandaliwe na ipewe hiyo taasisi ya uzalishaji wa kilimo. Huku ikiwezeshwa kimtaji na serikali pasipo kuasiliwa na siasa zake.
Kama vile lilivyo JWTZ, JKT, TANAPA, Basi na taasisi hiyo inakua na nidhamu ya viwango hivyo huku ikisheheni wataalamu wabobevu wa Kilimo na management ambao ni misheni and purpose driven people.
Hiyo taasisi iwe na Mission yakuhakikisha taifa linanufaika maradufu katika pato la taifa kupitia Sekta ya Kilimo.