Kitengo cha ardhi Morogoro kimeoza kwa rushwa

Jul 30, 2011
20
5
Halmashauri ya manispaa ya morogoro kitengo cha ardhi inanuka kwa rushwa. Kuna afisa ardhi mmoja anaitwa lusekelo anapora ardhi za wanyonge kama yeye ndiye mwenye ardhi.

Kila ofisi katika manispaa hiyo wanamjua lakini cha ajabu yeye ndio anaendelea kula maisha tu. Amedhulum viwanja kumi eneo la msamvu na kati ya hivyo kamuuzia mfanya biashara maarufu bwana murad au sadiq murad. Eneo la nanenane amepora viwanja sita na kuwauzia wafanyabiashara mbalimbali. Eneo la kihonda amepora viwanja saba. Kila kona ya mji jina limekuwa Lusekelo.

Kila anapolalamikiwa mnyakyusa huyo amekuwa na kiburi na kuwaambia watu hawamfanyi chochote. Kibaya zaidi kuna dada alimfuata kumlalamikia kuhusu haki yake, alimjibu bila aibu kwamba bila kuvua chupi hakuna haki.

Watu wamechoka hawana kwa kwenda nchi hii ni ubabe tu.
 
This is very serius matter kama yana ukweli. Ushauri wangu kwa yeyote ambaye amefikwa na madhila haya na ana ushahidi basi ayawasilishe kwenye vyombo vya habari (angalia issue ya Papa Msofe na yule mama mjane, mama amerudishiwa kiwanja chake na msofe amebaki na aibu!!) .Pia huyu waziri Tibaijuka yuko makini sana mpelekeeni hiyo issue but muwe na evidence. Mwisho kwa wana JF naomba issues kama hizi ambapo walalahoi wanadhulumiwa tuzichangamkie jamani ili kukomesha watumishi mafisadi kama hawa, maana hapa nimeona comments 2 tu kwa hii issue, tofauti na ninavyoona kwenye nyuzi zingine....
Halmashauri ya manispaa ya morogoro kitengo cha ardhi inanuka kwa rushwa. Kuna afisa ardhi mmoja anaitwa lusekelo anapora ardhi za wanyonge kama yeye ndiye mwenye ardhi. Kila ofisi katika manispaa hiyo wanamjua lakini cha ajabu yeye ndio anaendelea kula maisha tu. Amedhulum viwanja kumi eneo la msamvu na kati ya hivyo kamuuzia mfanya biashara maarufu bwana murad au sadiq murad. Eneo la nanenane amepora viwanja sita na kuwauzia wafanyabiashara mbalimbali. Eneo la kihonda amepora viwanja saba. Kila kona ya mji jina limekuwa lusekelo.

Kila anapolalamikiwa mnyakyusa huyo amekuwa na kiburi na kuwaambia watu hawamfanyi chochote. Kibaya zaidi kuna dada alimfuata kumlalamikia kuhusu haki yake, alimjibu bila aibu kwamba bila kuvua chupi hakuna haki.

Watu wamechoka hawana kwa kwenda nchi hii ni ubabe tu.
 
Aisee kweli ndio maana kila siku anakunywa pombe nini.....Haya maneno ni mazito sana kweke aisee inabididd akalishwe chini huyu jamaa vipi
 
Sheria ipo wazi kabisa, Ardhi ni mali ya Serikali, wananchi tunapangishwa. Ndio maana kila mwaka tunalipa 'Land Rent'. Kama hujapaendeleza katika kipindi cha miaka kumi unanyang'anywa kisha anapangishwa mtu mwingne.
 
Nadhani humu kuna wadau wa kutosha kwenye hivyo vitengo wanawaweza kusaidia zaidi,anajidai eti hamna chochote watakacho mfanya ameshafanya nchi ni yake hii....asubirie cha moto alafu arudie tena lugha yake.....
 
kunawakati mtu unaweza ichukia nchi yako ukatamani ukimbilie mbali kwa sababu ya hawa majambazi ya haki za watu.
MR. LUSEKELO kama haya ni yaukweli umekwisha my friend..
 
wanashirikiana na meya nondo ndomana haogopi mtu! kunajamaa aliuziwa kiwanja milioni 2.5 akapewa risiti ya laki mbili ilibidi jamaa adai hela yake na akarudisha kiwanja chao
 
wanashirikiana na meya nondo ndomana haogopi mtu! kunajamaa aliuziwa kiwanja milioni 2.5 akapewa risiti ya laki mbili ilibidi jamaa adai hela yake na akarudisha kiwanja chao
Hata maeneo ya bong'ola yalipimwa vizuri sana lakini hivi sasa kwenye barabara zote zinazounganisha kati ya mtaa na mtaa kuna nyumba yani hata pakupiata hakuna loooh!!!!
 
Back
Top Bottom