Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Tukiamua wananchi wetu waendelea na shughuli za kiuchumi huku wakichukua tahadhari , nyie vibaraka wa mabeberu mnapungukiwa nini ?
Kwani hapa tunaongelea mtu aliye Tanzania au aliye Marekani?

Unajua kusoma kwa ufahamu guluguja wewe?
 
Dalili ya kukosa Cha kufanya

Unahangaika kujua mtu anafanya nini?

Umemaliza ya kwako?
Wengine ndio kazi zao hizo na ndio zinawapa mkate . Kwani Shigongo na wafanyakazi wake wanaishije!? Wewe fanya chenye faida kwako, nA wengine watafanya ya kwao ili mradi sheria haivunjwi.
 
Nilisikia jamaa ameoa huko U.S.A,pia S.A na Mke mwingine yupo UK,mmoja ndiyo yupo naye Dar.So hao wa nje ndiyo wanamwezesha awapelekee Dushe kwa nyakati tofauti
 
  • Thanks
Reactions: bmk
Hapa nimegundua kitu kikubwa sana, kwa kuwa watu wengi hawajui kuongea kiingereza fasaha cha madoido! ni shida kwao! na ni wachawi sana japo wanacheka na kukupa ushauri mzuri!!! lakini myoyo imekunjika! kamwe! usiishi uswahilini km umezoea maisha fulani ya Farm Estate kama Masamaki!

kwa kusoma hapa tu nimepata picha kijijini kwao baba siendi !!!
 
Wabongo tumejaa,kijicho, wivu, husda, chuki za kijinga, ulofa mwingi nk, nk. Tufanye kazi tupate noti na sisi tuzurule duniani tupige picha. Mungu atatubariki
 
Mambo ya mjini sio kabisa! Kuna wengine huwa wanasema .............. Kuna wengine hua wanasema ni Mali ya serikali,kuna wengine husema ni balozi wa makampuni mengi,mbona Mpoki,Joti, Manara ni mabalozi wa kampuni nyingi lakini hawazuruli?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom