Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,858
38,454
Hello JF,

Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.

Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.

Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?

Screenshot_20200714-091259.jpg
 
Hello JF,

Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.

Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.

Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi au zake? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?

usingeanzisha huu uzi, unatudhalilisha sisi watanzania kwa vijitabia vya kipumbavu sana, milofa mingine inatufanya wote tuonekane washamba
 
Back
Top Bottom