Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Ila kudaiwa mahaba kila siku Nayo kazi kweli,wakati nimejizoelea kwa mwez Mara 1
Mahaba ni makubaliano, binafsi na mume wangu huwa tunakubaliana wala si jambo la kila basi ni kwichi kwichi No ila mkijiendekeza ndio hivyo tena
 
Usijali bhana. Kuna wanaume wasiochukua majina. Your name will remain as it is. Kumbuka siyo kwamba amekuchukua mazima, hata yeye ana kwao. Mmechukuana... Usijali mpendwa.
Wee ndo unakua wake mazima hivooo
Kalipa mahari ujue
Habari za kutoka kwa ruhusa maalumu sio mchezo jamani
 
Unajua mwanamke mtam ukiwa unamuiba ila ukiweka ndani mnazoeana!!!!!
Mh
What is your suggestion sasa???
Wee nichoke tu lakini tayari nipo ndani
Mbaya kuchokwa hata ndani hujawekwa
 
Muda ukifika utakubaliana na kila hali mama, hakuna jinsi sie ni kama mfugo unabadirishiwa mfugaji tu toka baba Mzazi hadi baba mlezi ambae ni mumeo
Bora muitane wenyewe mifugo mana tukiwaita sisi fasta mnakimbilia haki za binadamu
 
Back
Top Bottom